“when you are discussing difficulties or
failures, I hope that you will be prepared to
go to the root of the matter, if necessary.”
Mwl. JKN
Story za Vijiweni hizi.
Uhuru ulidaiwa na Watanzania wote, sidhani kama walijali sana kuhusu dini ya mtu, maana wasingetoboa.
Ni ujinga kudhani uhuru ulidaiwa na watu wa dini/ ukanda fulani Pekee.
Hiyo ya wakatoliki kuambiwa wasiwe wanaharakati unaitoa wapi?
Replying to @BarakaMaviatu @Kidevu_
Hapana kwasababu mwingereza katika dini ni mkristo na hata katika makanisa ya anglican na roman cslatholic walikuwa wanawafundisha waumini wao kuwa wasiwe wanaharakati maana ni kinyume na mafundisho ya biblia ndio maana mikoa iliyotoa wanaharakati wengi ni muslims na sio wakristo
Kwahiyo altenative ndio Hekaya za Mzee said na "Wazee wake wa kariakoo" ?
Kabla hamjawageuza watu mashujaa huwa mnawafuatilia kwanza?
Kwa mzee Said Muislam hana baya, Uhuru ulipambaniwa na waislam pekee, hawezi kosoa hata mauaji Oct 29 kwa kua rais ni muislam.
Tatizo tumeaminishwa kuwa historia ya Tanzania ilianzia kwa Nyerere.
Ni kama vile Nyerere aliibuka tu paap na kuanza kupigania Uhuru katika nchi iliyokuwa imejaa subjects wasiojitambua.
Yaani aliibuka single handedly, akaanzisha TAA kisha TANU halafu paap Uhuru.
Wakitajwa wengine aliowakuta au walioshirikiana naye, tayari mtajaji anageuka kuwa kondoo mweusi.
Mkikamata Mwizi popote pale mkateni mikono, mtengenezeeni Supu ainywe.
Kirahisi tu Legion Slim 7 gone, sababu mtu ameona ana matumizi nayo kuniliko.
@Heavenrage13 is this a Curse? Kwa kuvunja Ndoa yangu na Dell?
1
245
Tunaweza nini sisi Kama Taifa ?
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema tayari amepatikana mwekezaji kutoka Ghana atakayehusika na uchakataji wa taka katika dampo la Pugu.
Chalamila amesema kwa sasa wanaendelea kukamilisha taratibu zinazohitajika ili mwekezaji huyo afunge mitambo na kuanza kuchakata taka zitakazozalisha mbolea au rasilimali nyingine zenye manufaa.
Bora muendelee kula kwa macho hivi hivi, 1 inch eastward na hatokuwepo wa Kuamria wala kuwatetea. Mtakua Fundisho kwa watu Wenye tabia kama zenu.
Toshekeni na hiyo kata hapo Mnaita nchi.
Replying to @FLACKORIZZ
I hear it. But trust me we would have done better with it. I wish we could swap with dar es salaam cause they don’t know what to do with all that
Hii Cost of Capital ni kwa Chato tu au kwa Airport zote?
Huwa mnakua Objective mnavyokosoa airport ya Chato na mko Concerned kweli au kwakua it's fashionable to do so?
Mnaongozwa na Chuki dhidi ya JPM mpaka mnajichoresha, unless mnataka kusema hizo ndege zinaruka sababu yake.
@ufntc Yaani kwa kuwa JPM alitoka Chato, basi huko Chato hapastahili Chochote.
Ni wakati wa JPM ndio airport zote ziliboreshwa na Ukiangalia kote numbers za flights sio nzuri.
Ila let's criticize Chato sababu Kule wanakaa Warundi hawastahili Maendeleo.
Tumegoma kuingia kati, tumeegemea ukuta.
Lakini tunalalamika "Pamepoa", tunataka acheze nani?
Uhalisia ni kuwa Club iliyopo ndio hii, hakuna Nyingine.
Mambo gani haya
Operation Nyundo II The Tanzanian 🇹🇿 TZQRF @jwtztaarifa under @MONUSCO Force Intervention Brigade the Post 2025 Sequel in North Kivu
The Ladies are manning the 50 cal , Cool.
Nice Guns !
#FreeCongo
5
3,348
Huyu bwana angeweza Kujiweka sura yake Kwenye Vyombo vya Chakula vya wananchi angeweka.
Hovyo.......
Kwa hesabu za kwenye Biblia hii gari haikuwa na watu.
Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamejazana ndani ya gari aina ya Toyota Spacio, lenye namba za usajili Z 844 AAU.
Tukio hilo limetokea Zanzibar, ambapo gari hilo lenye uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba lilikutwa likiwa na watu 27, hali iliyozua mshangao kutokana na wingi wa watu waliokuwa ndani yake.
Video hiyo imeendelea kusambaa mitandaoni na kuzua gumzo miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Hata hivyo, sababu za kusafirishwa kwa abiria hao kwa idadi hiyo na mazingira kamili ya tukio bado hazijafahamika.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
33
S-400, wanatarajia kupigana na nani hawa?
Our comprehensive efforts to sustainably ensure our country's peace and security have reached a new milestone today. The state of readiness being built within Ethiopia's defense forces is endowing the nation with the capability to preemptively deter aggression.
In accordance with our prior agreement with the Russian government, we have today taken delivery of the first twelve Su-35 4++ Generation fighter jets. Additionally, Ethiopia will receive four S-400 air defense system batteries.
I would like to express my gratitude to my friend, Russian President Vladimir Putin, for his dedication in ensuring we received these warplanes a year ahead of our agreed schedule. By equipping itself with these fighter jets, Ethiopia has taken the lead among Sub-Saharan African nations.
This historic achievement further strengthens our nation's sovereignty, and it will serve as a massive capability boost that allows us to confidently continue our journey toward ensuring our collective security and regional stability in the future.































