Learner👑✝️🛐👑 retweeted
BREAKING: International Court of Justice rules that Myanmar committed genocide against its Rohingya minority
Pambana na UMASIKINI, UJINGA na MARADHI.
Achana na vijiagenda UCHWARA visivyoboresha hata maisha ya mtu.
Ukoloni ulikwepo. Hiyo ni HISTORICAL FACT na huwezi kuifuta.
Yaani ZIWA liliko mwanza Tanzania linaitwa Jina la MALKIA wa Uingereza afu Mawe yaliyoko kwenye ziwa ilo yanaitwa Bissmark.
Afrika hatutakaa tuwe Huru
Na Viongozi wetu wanaendeleza Tabia zile zile za Kikoloni za KUJIPACHIKA majina yao kwenye vitu mbali mbali.
1
81
CCM na pepo la DAMU za WATU kwasababu ya TAMAA kali ya WIZI na MADARAKA.
Wakati wanamuua Akwilini kikatili kwa RISASI, kwasababu ya Ubunge tu, viongozi wa CHADEMA ndio walifungwa.
Ni mwendelezo wa MAUAJI na wakishaua, wanafungwa ni watu wengine.
Leo CHADEMA ndio wamejaa JELA.
DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.”
Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika.
Fuatilia zaidi jamii.app/KifoChaAngel
#JamiiForums #JFMatukio
Let's say , Mtu ana kiwanja chake na hana pesa hata 100.
Wewe kama TAJIRI kwaajili ya kuendeleza hilo eneo, kwa maslahi yenu wote.
Utafanya kwa utaratibu gani?
Sema hii ya GSM kumiliki 50% ya uwanja wa Yanga ni utapeli !
15-20 years ya kugawana mapato nusu nusu ilikuwa inatosha ila. 50% milele?
1
3
480
Learner👑✝️🛐👑 retweeted
Kifo cha Yule binti kinaumiza sana, haki ya Mungu mliohusik 29 October Mwenyezi Mungu atawalipa mlichopanda mmeumiza wengi mno
Learner👑✝️🛐👑 retweeted
Angel Wariael, binti aliyejeruhiwa Oktoba 29, afariki dunia Muhimbili
Dar es Salaam. Angel Wariael,13, binti aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na kujeruhiwa na risasi kwenye matukio ya Oktoba 29 akiwa nyumbani kwao Manzese amefariki dunia.
Hospitali imethibitisha kifo chake leo Novemba 18, 2026, kupitia Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano, Irene Charles Mbonde, pamoja na taarifa kutoka kwa mmoja wa wanafamilia.
Katika taarifa kwa waandishi wa habari, Hospitali ya Taifa Muhimbili, (MNH) imetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huo, ikiwaombea nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu.
Oktoba 31, 2026, The Chanzo, iliripoti taarifa ya Angel na mama yake mzazi kuhitaji msaada ikiwemo wa matibabu kutokana na hali ya afya yake iliyomsababisha kukatisha masomo. Kufuatia taarifa hiyo, alipatiwa msaada na kuanza matibabu Muhimbili hadi mauti yalipomkuta.
RIP
Umeporwa UHAI wako mapema sana kwasababu ya TAMAA ya watu wachache.
DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.”
Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika.
Fuatilia zaidi jamii.app/KifoChaAngel
#JamiiForums #JFMatukio
9
243
Learner👑✝️🛐👑 retweeted
Askofu Bagonza: Nimemjua aliyenitishia kunipoteza mwananchi.co.tz/mw/habari/ki…
Shida wala hata siyo CHADEMA. Tekeleza MATAKWA ya wananchi.
Acha MAUAJI, UTEKAJI, DHULMA, WIZI na KESI za MCHONGO. Acha watu wachaguane wenyewe.
Hili wala halihitaji CHADEMA.
Kwani KUUA watu na UTEKAJI ni MASHARTI ya MGANGA kiasi kwamba kuacha imeshindikana?
Tutadanganyana maridhiano bila wale wa vidole viwili juu ni kazi bure, mwanzon ilikua hivyo hvyo mkawapuuzia tukaingia maafa yale octoba sasa hv tena tunajifanya tunaweza bila wao na wakati wao ndo waungwaji wakubwa mkono na vijana anyways kugwa kwa mbulu...😅😅😅
3
315
Baada ya:
- Mafuta na Gesi
- Usafiri wa Anga
- Mikopo ya nje
- Ardhi
- Uraia
Kimebaki nini?
Katiba ni kijitabu tu.
🤣 teapawt.org/JamiiForums/status/212…
Uchaggani kuna imani kuwa ukiona mtu TAJIRI au Mwenye MADARAKA anahangaika sana kwa KUCHINJA Mbuzi au Ng'ombe kila wakati, ujue mtu huyo anasumbuliwa na ROHO ZA WATU wasio na HATIA.
63
At least base your propaganda on facts.
I was mindblown today.
My Chinese nail tech told me most people in China have never heard of the Tiananmen Square massacre.
The education system deliberately erased it from history. No textbooks. No public discussion.
She said she only found out after moving to the U.S.
An entire generation kept in the dark about one of the most important events of the last 50 years.
70
Unapambana vipi na BRT?
Wamiliki wa Daladala wakutane pamoja, waunganishe MITAJI wanunue Mabasi, wachukue ROUTE mojawapo ya BRT waendeshe.
Serikali inamiliki MFUMO, wao wanunue Mabasi kama alivyofanya Mofat.
Replying to @MaviatuBackup
7/10
Badala ya kupambana na BRT, wamiliki wajipange kushirikiana nayo kupitia fursa mpya:
🔸Feeder Services: Kuleta abiria vituo vya BRT.
🔸Last-Mile: Kutoa abiria vituoni kuwapeleka maeneo yasiyofikiwa na BRT.
🔸 Diversification: Usafiri wa shule,taasisi, na kukodisha.
3
13
1,449
Learner👑✝️🛐👑 retweeted
Mimi SATIVA ikija kutokea NIMETEKWA KENYA wahusika wakuu ni JESHI LA POLISI LA TANZANIA.
Hii Email nilitumiwa mwaka jana 9/11/2025 na dawati maalumu la "Doria mtandaoni" (Crime Desk).
Na alietuma Email hii ni AFANDE "ASP JOHN KAAYA" alikuwa shahidi namba 4 kwenye Kesi ya UHAINI YA MH LISSU.
Hii taarifa itunzwe kwa wivu mkubwa sana, najua hii nchi itakuja kukombolewa hata kama sitaona ukombozi wake ila hawa watu wanaotupoteza lazima wapate HAKI YAO.
CASE CLOSSED.
Imagine, siku JWTZ/JKT wakiacha Ujinga wao wa kufuga BATA, kufungua kumbi za sherehe na kujenga Fremu za Biashara?
Tanzania ilivyovuna Sh4 trilioni kupitia mazao saba
mwananchi.co.tz/mw/habari/bi…
Learner👑✝️🛐👑 retweeted
Germany, Austria, the Netherlands, Denmark and Greece have announced that Rwanda will be used as a deportation centre for migrants who have failed in their bid for asylum.
The so-called ‘return hub’ will be ready to accept arrivals in 2027.
EU countries announce migrant deportation centre in Rwanda
More on Aljazeera.com
Sasa hili lina mahusiano gani na OFISI ya UMMA.
Alitakiwa tu kuandika WOSIA na kuiachia FAMILIA yake.
3
5
420
Ukitaka kumjua TAPELI👇
Kila OFISI ya Mkuu wa Wilaya, kuna:
- Afisa Usalama (TISS)
- TAKUKURU
- OCD (Polisi) na
- Internal AUDITORS
Wote hawajaona kuna TATIZO. Ila YEYE katoka Dodoma, amefika hapo kushika MIC na kufoka mbele ya Media kuonesha anachapa KAZI.


























