Prosper Masau (@ProsperMasau) header
Prosper Masau (@ProsperMasau) profile picture
Joined March 2012
Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)
Huyo Bodigadi wa IGP Hapo Moshi kwenye mkutano ndo yule alikuwa akimlinda Tundu Lissu wakati wa kampeni za Urais? Au wanafanana tu......
3
286
Prosper Masau retweeted
HATA ukiwa na nyumba nne Mbweni. Ipo siku watu usiowajua, wataishi humo na wala hawatajua kama uliwahi kuishi. Usikanyage watu ili kupata vitu. Tendea watu mema. Matendo mema yatakufuata kaburini na hata mbinguni. Ikawe kareem Ijumaa yako.
10
49
185
2,473
Prosper Masau retweeted
Yaliyomo kwenye nembo ya AFCON 2027 1️⃣ Kombe la AFCON 2️⃣ Umbo la nje limetokana na nembo za Taifa (Coarts of Arms) za mataifa yote matatu. 3️⃣ Rangi za Bendera za Mataifa yote matatu. 4️⃣ Michoro ya kitamaduni na asili ya Afrika Mashariki inayoonyesha sanaa ya ususi, ufumaji nk.
2
151
4,109
Prosper Masau retweeted
A closer look at the details, colours and inspiration behind our #TotalEnergiesAFCON2027 identity. ❤️
24
615
56
3,225
91,274
Prosper Masau retweeted
CAF wapo siriazi sana na #AFCON2027
2
20
799
🏟️𝗙𝗥𝗢𝗠 #𝗖𝗛𝗔𝗡𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗧𝗢 #𝗔𝗙𝗖𝗢𝗡𝟮𝟬𝟮𝟳!🇰🇪🌍 A new era of stadium branding is coming!🔥 How will our iconic @KasaraniStadium look dressed in the colours and identity of #AFCON2027? 👀🏆 #Pamoja2027 #TotalEnergiesAFCON2027
3
60
1
718
15,186
Prosper Masau retweeted
Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Johannesburg 🇿🇦 Novemba 23 saa 7:00 mchana (EAT) Atazungumzia kuhusu ukuaji na maendeleo ya soka barani Afrika pamoja na taarifa mpya kuhusu AFCON 2027 itakayofanyika Kenya 🇰🇪, Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬
2
3
100
1,649
Prosper Masau retweeted
A look that brings three nations together! 🇰🇪🇹🇿🇺🇬 Ladies and gentlemen, meet the official #TotalEnergiesAFCON2027 identity!
136
1,718
251
6,278
1,062,018
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
142
394
39
1,623
72,443
Prosper Masau retweeted
Mtoto wa miaka 13. Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari. Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu. Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo. Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha. Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote.. Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka. Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu. Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema. Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika. Pole sana familia ya Angel. Pumzika kwa Amani Malaika.
49
344
4
1,247
30,391
Ndoa si kwa ajili ya watu wanaopendana tu, bali ni kwa ajili ya watu wanaojua kusamehe, kuwasiliana, kujitoa, kuvumiliana, kuhudumiana, kujenga pamoja na kulindana. Mapenzi huwaleta pamoja, lakini tabia na matendo ndiyo yanayodumisha ndoa.
6
18
122
4,913
Yule binti aliyefia muhimbiri kifo chake kimeacha maswali mengi sana ase. Binti alionekana ana unafuu kabisa aliitaji tuu matibabu yaweze kumsaidia angalau aweze hata kusimama. Ila leo tunaambiwa amefariki ase. Hapa hakuna cha mpango wa Mungu wala nini kuna namna.
27
117
6
862
22,091
Kwa hiyo ofisi za Caf zitakuwa Salamandar🤣🤣🤣
50
Prosper Masau retweeted
Maisha ni mafupi kuliko tunavyodhani. Usiahirishe furaha, usipoteze muda kwa chuki, na usiishi kwa ajili ya kuwafurahisha watu. Penda, samehe, thubutu na mshukuru Mungu kwa kila siku unayopewa.🙏
11
85
1
362
10,973
Prosper Masau retweeted
Come with me as I fly from Tanzania 🇹🇿 to the United States 🇺🇸 with Qatar Airways. #Tanzania #UnitedStates #DallasTX #QatarAirways
7
16
161
2,467
Prosper Masau retweeted
Kifo cha Yule binti kinaumiza sana, haki ya Mungu mliohusik 29 October Mwenyezi Mungu atawalipa mlichopanda mmeumiza wengi mno
2
38
164
1,558
Prosper Masau retweeted
Thank you Zanzibar, regardless of the result, I had a blast 💥 spending a few days in Tanzania 🇹🇿 #Tanzania #AFCON2027Q #SuperEagles #Nigeria
11
28
1
430
10,636
Prosper Masau retweeted
Kama wanataka kuliponya taifa wachukue njia ya Afrika Kusini. 1. Iundwe sheria ya ukweli na uwazi. 2. Sheria hiyo iunde tume ya KIJAJI ya ukweli na Maridhiano, kila Mtanzanie mwenye jambo akaeleze serikali iitwe ijieleze na kuomba radhi. 3. Rasimu ya katiba ya Warioba irejewe.
4
22
2
93
2,469
Sasa itabidi na sisi wana Msongola B tufanye hivi ingawaje pia tuna nyumba nzuri sasa inabidi tuongeze kama hii....
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap leo Novemba 18,2026 amezindua Nyumba mpya ya Mapadre katika Parokia ya Mtakatifu Augustino Ukonga. Hongereni sana wanaparokia ya Ukonga!
1
94
Tutadanganyana maridhiano bila wale wa vidole viwili juu ni kazi bure, mwanzon ilikua hivyo hvyo mkawapuuzia tukaingia maafa yale octoba sasa hv tena tunajifanya tunaweza bila wao na wakati wao ndo waungwaji wakubwa mkono na vijana anyways kugwa kwa mbulu...😅😅😅
37
46
4
382
12,508