Edward (@SimpertE) header
Edward (@SimpertE) profile picture

Ukijua kutega ujue na kutegua.

Tanzania
Joined September 2011
Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)
Tuamini la amani na umoja wa Watanganyika. Mpigania haki, Demokrasia na uhuru wa kujieleza. Mwenyezi Mungu tunamuombea ulinzi wako Tundu Lissu. 🤲
1
14
65
835
📖 Zaburi 91:11 "Atawaagizia malaika wake wakulinde katika njia zako zote." Walindeni watoto wetu shuleni na njiani Ajali, magonjwa na hatari zote, zikae mbali nasi. Amina 🤲
4
2
9
155
Huyu mtu ameshatuona Watanganyika malofa.
‼️🚨SAMIA SULUHU’S DESPERATE ATTEMPT AT RECONCILIATION‼️ Tomorrow the Registrar of Political Parties has called a meeting of top leaders of political parties in #Tanzania under the leadership of Samia Suluhu This happens while Tundu Lissu - the chair of largest (opposition) party CHADEMA is in jail on an illegal sentence! No real reconciliation or negotiations can happen - this is just a charade! You can’t kill and lead us, Samia Suluhu! You will never know peace - you MUST be held accountable! #NoJusticeNoPeace #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
1
3
418
📖Isaya 41:10 "Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako." Nitakase kwa damu ya Yesu, nijaze Roho Mtakatifu. Nitie nguvu, wewe u pamoja nami. Amina 🤲
5
17
337
Zaburi 5:3 "Asubuhi utaisikia sauti yangu, ee Bwana." Baba, asante kwa asubuhi hii ya Ijumaa. Asante kwa pumzi, uzima na ulinzi wa usiku. Nakukabidhi siku yote mikononi mwako. Tangulia mbele yangu, nyoosha kila njia nipitayo. Amina 🤲
5
8
24
396
WELCOME
If you need +10k followers ❗️ Say >=> Welcome 👋 I will boost your page now 💯♻️✈️✔️
3
117
Edward retweeted
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623. Ukisoma Luka 6:23 inasema “Furahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.” Kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya Tundu Lissu ni kusudi la MUNGU tusihuzunike sana. USHINDI UNAKUJA NA HAUPO MBALI. GOOD MORNING. REPOST 200 #FreeTunduLissu
37
348
3
1,741
38,727
📖 Zaburi 143:8 "Unisikilizishe fadhili zako asubuhi, maana nakutumaini wewe." Baba, asante kwa asubuhi hii mpya ya Alhamis. Asante kwa pumzi na uzima. Nakukabidhi siku hii yote, nitakase kwa damu ya Yesu Kristo. Amina. 🙏
2
5
15
337
‼️EXCLUSIVE‼️ Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”. Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌 #FreeTunduLissu
38
442
8
1,512
84,374
Hakuna kukata tamaa
Mfungwa namba 623/2026 Tarehe ya kufungwa 06/11/2026 Tarehe ya Kutoka bila kupunguziwa robo ya kifungo ambayo inapunguzwa kwa mfungwa ambaye hajatenda kosa akiwa gerezani ni Tarehe 05/11/2030 Tarehe ya Kutoka ukitoa robo ni Tarehe 05/07/2029; Mapambano yaendelee!!
1
7
223
Baba, Nakukabidhi masaa yote ya leo. Tangulia mbele yangu na uniongoze katika kila hatua. Asante Baba kwa ulinzi, baraka na majibu ya maombi. Leo ninasonga mbele kwa ushindi katika jina la Yesu. Amina 🤲
8
6
35
436
Baba, nakuja mbele zako asubuhi hii kwa jina la Yesu Kristo. Asante kwa kunivusha salama usiku uliopita. Asante kwa uzima, pumzi na riziki ya leo. Amina 🤲
5
8
32
437
Mwamba huu kutoka mkoa aliozaliwa Julius Kambarage Nyerere, John Wegesa Heche, he deserves to be a leader. Ameikubali heshima na kuikataa njaa.👏👏
44
1
519
9,219
Mwamba Tundu Antiphas Mughwai Lissu Mfungwa wa Kisiasa namba 623/2026
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya. Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam. Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026. Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
3
28
1
110
2,676
Leo #MariaSpaces tunajadili: Aluta Continua #FreeTunduLissu Tumekubaliana kuwa hakuna kumwachia Mungu suala la Lissu na njia kuu ni maandamano! Mapambano yanaendelea sasa tujipange hakuna kurudi nyuma! Njoo uchangie mawazo tunatokaje? Leo saa 2 uck
6
81
1
269
9,730
📖 Asante Bwana kwa kutuamsha salama wiki nyingine hii, asante kwa uzima na afya, tunaiweka wiki hii mpya mikononi mwako. Amina 🤲
9
8
19
294
TAL! Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts, akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!, akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana! Akasema let me speak my mind!
86
658
12
2,843
75,006
Baba, Asante kwa kuiona salama siku ya leo. Nakushukuru kwa uhai na ulinzi wako. Bwana, nisamehe makosa yangu yote na unitakase kwa damu ya Yesu. Amina 🤲
8
4
24
379
Yes mama you mean it 👍👍
Majaji, kwa uamuzi huu mmejivua heshima, mmeondoa kabisa imani ya wananchi kwa mahakama na kuifedhehesha nchi yetu! Dhamiri zenu ziko wapi? Kiapo chenu kina thamani gani? Namshukuru Mungu sina undugu na yeyote kati yenu. Kila mmoja wenu abebe aibu na uwajibikaji wa uamuzi wake. Vyeo vitapita, majoho yatavuliwa, lakini fedheha ya uamuzi huu itawafuata katika historia!
6
220
#FreeTunduLissu "MSIOGOPE TUTASHINDA"
1
19
371
TUNDU LISSU ; Waheshimiwa "Majaji toeni hukumu ambayo mnayo. TOENI HUKUMU AMBAYO MMEAGIZAWA." Nimemaliza . Asante.
1
4
100
"Sitaomba msamaha kwa sababu sina hatia, Wasio na hatia hawaombi msamaha". Tundu Lissu.
3
66