Edward (@SimpertE) header
Edward (@SimpertE) profile picture

Ukijua kutega ujue na kutegua.

Tanzania
Joined September 2011
Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)Photo by Edward (@SimpertE)
Edward retweeted
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623. Ukisoma Luka 6:23 inasema “Furahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.” Kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya Tundu Lissu ni kusudi la MUNGU tusihuzunike sana. USHINDI UNAKUJA NA HAUPO MBALI. GOOD MORNING. REPOST 200 #FreeTunduLissu
37
348
3
1,741
38,739
‼️EXCLUSIVE‼️ Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”. Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌 #FreeTunduLissu
38
442
8
1,512
84,397
Mwamba Tundu Antiphas Mughwai Lissu Mfungwa wa Kisiasa namba 623/2026
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya. Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam. Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026. Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
3
28
1
110
2,676
Leo #MariaSpaces tunajadili: Aluta Continua #FreeTunduLissu Tumekubaliana kuwa hakuna kumwachia Mungu suala la Lissu na njia kuu ni maandamano! Mapambano yanaendelea sasa tujipange hakuna kurudi nyuma! Njoo uchangie mawazo tunatokaje? Leo saa 2 uck
6
81
1
269
9,731
TAL! Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts, akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!, akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana! Akasema let me speak my mind!
86
658
12
2,843
75,007
I remain very optimistic that I will be acquitted tomorrow. Kama lengo ni kunifunga miaka mitano, mpaka 2031, kwa kuangalia uchaguzi ujao, then they should understand that I have no ambition whatsoever of contesting an election under this electoral system. Nikitoka, nitaendelea pale nilipoishia. Nani kawaambia No reform, No Elections emekufa?? So, I remain optimistic about tomorrow, but I am equally prepared for the worst. I am hoping for the best, but prepared for the worst! If the best happens, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, the struggle continues. It will not be the end of the world; it will simply be a new chapter in the struggle for justice and democracy. TL.
27
214
4
992
25,404
TUNDU LISSU; HISTORIA HAISAHAU WANAOPIGANIA HAKI! Usiku wa leo, ni usiku mzito kwa watanzania wote wanaoamini katika demokrasia na kila mwenye dhamira ya kuona nchi yetu haki, usawa, uhuru na utu wa binadamu vinaheshimiwa. Novemba 6, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania itatoa hukumu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A.M Lissu. Utakuwa ni usiku mrefu kwa familia nzima. Kwa siku 575 (mwaka 1 na miezi 7), Tundu Lissu ametengwa na familia yake, mbali na uhuru wake. TAL amebeba mzigo wa kesi ambayo matokeo yake yanaweza kubadilisha maisha yake. Bila kujali matokeo yoyote ya hukumu, hatupaswi kusahau mjadala wa haki, demokrasia, utawala wa sheria na mustakabali wa Tanzania ni mkubwa kuliko hatima ya mtu mmoja mmoja. Historia imetufundisha kwamba ukweli haupotezi thamani yake kwa sababu mtu aliyesimamia amenyamazishwa; na haki haikomi kuwa haki kwa sababu imezuiwa na watu walio na mamlaka. Tundu Lissu yupo gerezani, lakini mawazo kuhusu haki na demokrasia hayawezi kufungiwa ndani ya kuta za gereza. Gereza haliwezi kuwa gereza la mawazo ya taifa zima. Haiwezekani. Kesho, matokeo ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu yatakuwa sehemu ya historia ya nchi yetu. Lakini historia ya mapambano ya demokrasia haitaanza au kumalizika ndani ya mahakama. Mahakama, inatakiwa kufanya jambo moja tu: KUTENDA HAKI KWA MUJIBU WA SHERIA.Haki ya mtu asiye na hatia haipaswi kuwa zawadi kutoka kwa mamlaka; ni haki inayolindwa na sheria. Kesho si siku ya kutafakari hatima ya TAL. Ni siku ya kutafakari mustakabali wa taifa letu, uimara wa taasisi zetu, uhuru wa mahakama na nafasi ya haki katika kujenga Tanzania tunayoitaka. Maisha ya mtu mmoja yanaweza kuwa na mwisho, utawala unabadilika na mifumo inaanguka, lakini thamani ya ukweli, haki na uhuru wa watu haipaswi kufa na mtu aliyeisimamia. Tundu A.M Lissu ni special creature. Ni viumbe wachache kama TAL katika siasa zetu. Wanachama wa CHADEMA tunamuunga mkono kwa kuwa siasa zake hazina mawenge na mawaa. Dola katili la CCM haliwezi kuzima ndoto za kuitafuta Tanzania inayoheshimu haki za watu, utu, usawa. Dhamira ya waliomtupa gerezani ni awapigie magoti. Amegoma kupiga magoti. Jambo moja ni hakika, TUTASHINDA. MSIOGOPE. MBORAAAAKE. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
9
123
691
17,584
SIMAMA, UHESABIWE — USIWE KATIKATI! Rev Peter Simon Msigwa Kwa wanasiasa na wanaharakati wa Tanzania. Mambo ni mawili, wala si matatu! Ama usimame upande wa watekaji, wauaji na wakandamizaji, Au usimame upande wa haki, uhuru, demokrasia na maendeleo. USIWE KATIKATI! Maana kuna nyakati ukimya ni sauti, Kuna nyakati kutokuchagua ni kuchagua, Na kuna nyakati kusimama katikati ni kusimama upande wa mwenye nguvu dhidi ya asiye na nguvu. SIMAMA, UHESABIWE! Usisubiri upepo ubadilike ndipo utandike tanga. Usisubiri jua lichomoze ndipo ukiri kuwa usiku ulikuwa na giza. Usisubiri minyororo ikatike ndipo ujitangaze kuwa ulipenda uhuru. Usisubiri wengine walipe gharama ya mapambano ndipo wewe ujitokeze kudai sehemu ya ushindi. Na hili ulitie moyoni, ulitie akilini, ulitie katika kumbukumbu zako: MABADILIKO TANZANIA YATATOKEA! Ukiwa pamoja nayo, yatatokea. Ukiwa kinyume nayo, yatatokea. Ukiwa kimya, yatatokea. Ukiwa mbele, yatatokea. Ukiwa nyuma, yatatokea. NA WEWE AU BILA WEWE, LAZIMA YATOKEE! Unaweza kuchelewesha mapambazuko, lakini huwezi kulizuia jua kuchomoza. Unaweza kuzuia mto kwa muda, lakini huwezi kuyaamuru maji yaache kutafuta njia. Unaweza kuwakandamiza watu, lakini huwezi kuizika milele kiu yao ya haki na uhuru. Na siku historia itakapofungua kurasa zake, haitauliza ulikuwa na cheo gani, ulikuwa karibu na nani, au ulikuwa na mali kiasi gani. Itauliza ulisimama wapi wakati watu walipokuwa wakidai haki zao. Itauliza ulisema nini wakati wengine waliponyamazishwa. Itauliza ulifanya nini wakati kusimama upande wa haki kulipokuwa na gharama. KUMBUKA: HISTORIA HAIANDIKWI TU NA WALE WALIOSHINDA, BALI PIA NA WALE WALIOKUWA NA UJASIRI WA KUSIMAMA WAKATI WENGINE WALIPOCHAGUA KUNYAMAZA. SIMAMA, UHESABIWE! MAANA MABADILIKO YATATOKEA, NA WEWE AU BILA WEWE
21
84
1
340
10,240
“Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.” Zab 119:11 SUV
8
25
83
929
‼️🚨TUNDU LISSU KIFUNGO MIAKA 5, WAPANGA CHADEMA KUBOMOLEWA‼️ Kama mnafikiri hawa waovu wanaweza kuchoka au kujirudi SAHAUNI! Wamepanga hivi baada ya kushauriana: 👉🏽 Tundu Lissu wanaenda kumfunga miaka mitano! Kimama kimeshauriwa na Jaji Mkuu kuwa uhaini ni kuhukumiwa kunyongwa au kufutiwa kesi! Hasikii! Anataka Lissu atoke 2031 ili uchaguzi wa 2030 upite agombee yeye au Bashite au Ridhwani! Wapumbavu wote hawa ila wanaamini upumbavu wao kwa dhati 👉🏽Wameshaanza kutengeneza mgogoro ndani ya Chadema. Na alivyosema @mangekimambi wanasubiri watangaze hukumu ya Lissu waanze kutoka sasa wale wa “hekima” na “strategic engagment” wanataka Lissu akitoka asikute Chadema anayoijua ibaki gofu tu ya madalali! 👉🏽 Tume ya Jaji Lila litaanza kuwaita viongozi wa Chadema hata Lema naambiwa inawezekana muda huu anaenda kuhojiwa ILA yake ni danganya toto arudishe imani ila wamemlenga Heche hapo na wale “wabishi” 👉🏽 kila anayeonekana kuwa mwiba kwao atashughulikiwa na hii tume ama kutekwa ili wapate utulivu kula nchi vizuri na wajirithishe mali! Siwaandikii kuwakatisha tamaa - la HASHA! Ni kuwaambia kwamba huu ndo muda wa kupambana na hakuna wa kuja kutuokoa! Hawa mafedhuli HAWANA MPANGO wa kurudi nyuma! Bora tujaribu kupambana kwa moyo wote tufanikiwe au tusifanikiwe ila tutajua we did everything we could possibly do! Lazima kumtoa Lissu kifungoni! Hiki kinachoendelea si kesi ni upumbavu! Tusitake akate tamaa! Na wale wana CCM wanaodhani wako salama wajue nao watafuatwa! Maana kwa sasa genge la mashetani wanataka kula tu na kutufanya manamba! We need to fight like HELL au tumekwisha kama nchi! #TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
66
242
9
1,184
161,519
Wanasiasa wa Tanzania wajifunze mambo mawili ambayo hawataweza kuyadhibiti kamwe: 1. Ukuaji wa teknolojia (The growth of technology) 2. Mtiririko wa taarifa (The flow of information) Taarifa sasa zinazunguka haraka kuliko wakati wowote wa uwepo wa binadamu duniani kwa sababu ya technology. Ukishindana na haya mambo mawili, ni kujipiga ngwala wewe mwenywe.
5
69
337
8,385
Kwenye Vita Ya Kutafuta RIZIKI Haijawahi Kuwa Nyepesi Kwa Hiyo Jitahidi KUOMBA,Inawezekana Wewe Huna Shida Na Mtu Ila Watu Wanashida Na Wewe.✍🏼
5
17
28
428
HAKUNA NJIA YA MKATO (THERE IS NO SHORTCUT) UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITAKAVYOLIPONYA TAIFA LETU. JIEPUSHENI NA MADALALI WA GIZA. Yeyote anayehubiri maridhiano bila kuweka mbele ukweli, haki na uwajibikaji, aidha ni muuaji au wakala wa wauaji. Msimamo wa aina hiyo lazima ukataliwe hadharani! TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATHS TO HEALING OUR NATION. BEWARE OF BROKERS OF DARKNESS. Anyone advocating reconciliation without first establishing truth, justice and accountability is either a perpetrator of killings or an agent of the perpetrators. Such a position must be publicly rejected! BAK MWABUKUSI
75
489
12
1,616
48,317
Mambo ya Tanganyika yataamuliwa na Watanganyika. Hatuhitaji kuelekezwa na Wazanzibari nini cha kufanya kwenye ardhi yetu. Wazanzibari walipoamua yao, Watanganyika hawakutia pua. Tuheshiniane! Watanganyika sio wajinga! Tunadai HAKI, UKWELI & UWAJIBIKAJI. Asante kwa uelewa wako🤗
Mtazamo wangu Kisiasa kwa sasa Serikali ya muungano wa Tanzania ni kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa tu. Kwa Sababu 10/29/2025 ilipelekea dowa kubwa kisiasa na Namuomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Kutumia Njia ambayo Alitumia aliekuwa Rais wa Zanzibar Amni Abeid Karume
2
16
61
1,469
“ Heri mtu anayevumilia wakati wa majaribu, kwa sababu akiisha kushinda hilo jaribio atapewa taji lile la uzima Mungu alilowaahidia wale wanaompenda.” Yakobo 1:12 NEN
10
28
51
601
NDUGU WANANCHI. Huu UTAWALA wa DAMU wa Samia unataka ONDOA wote WaTanganyika Wenye Akili timamu na WASOMI tulobakiwa nao ambao Ndo Wapo mstari wa mbele Kuongelea Haki na Kupambania TAIFA ili kuwaangamiza💔 Mfano mzuri Ni Kama vile ni Kama walivyowafanyia MH WAKILI MSOMI TUNDU LISSU, Mwana Diplomasia Balozi HAMPHREY POLEPOLE na Sasa wanawanyemelea Kina Mh WAKILI MSOMI BONIFACE MWABUKUSI @advocatemwabukusi2025 . @Mwabuk2Boniface , Mh @HecheJohn WATANGANYIKA TUSIKUBALI HUU UKATILI. AMKA Mtanganyika 💪
8
91
358
14,903
Mungu Nasema Asante Kwa Usiku Uliopita,Umenilinda Salama Mimi Pamoja Na Familia,Marafiki Ndugu Na Jamaa Zangu Nami Naikabidhi Asubuhi Ya Leo Mbele Zako,Neema Na Ulinzi Wako Uwe Nami Na Baraka Zako Katika Utafutaji Wangu. 🙏🏼🙏🏼Amiin🙏🏼🙏🏼 GOOD MORNING🌄LADIES AND GENTLEMEN🫂
10
17
21
243
Edward retweeted
If you need 10K+ followers Say Connect 👋 I will boost your page. 🔗✨
234
29
120
2,611
Hakuna wa kuja kutuokoa! Tujiandae kabisa kisaikolojia! Lissu hatupambanii bali anatuonyesha njia Sisi ndo tunatakiwa kumpambania na kujipambania Waovu hawaendi kumwachia labda akubali masharti yao Tundu Lissu is human - he needs our support! Nobody is coming to save us! #FreeTunduLissu
49
251
8
956
171,165
URGENT: COMMONWEALTH CMAG 🚨 Tanzania’s situation is not improving. As CMAG prepares to discuss Tanzania on September 20, 2026, Commonwealth representatives must hear the reality from Tanzanians-not only official government narratives. Tundu Lissu remains in prison despite the Commonwealth’s 30-day call to resolve his detention. That deadline has now passed. Enforced disappearances and abductions continue to raise serious concerns. Families are still searching for answers about loved ones who disappeared. The October 29, 2025 killings cannot simply be forgotten. Families are still waiting to know what happened to their loved ones, where they were buried, and who will be held accountable. A commission of inquiry cannot be the end of the process. Tanzania needs independent, credible investigations, truth, justice and accountability. We also need clarity concerning former Vice President Emmanuel Nchimbi. He resigned, was subsequently expelled from CCM, and Tanzanians deserve transparency about what happened, why, and where he is now. Meanwhile, dissent continues to be suppressed. Activists, journalists and critics continue to face intimidation and restrictions. Reconciliation cannot simply mean moving forward without truth. Tanzania needs: TRUTH. ACTION. ACCOUNTABILITY. We need Tundu Lissu FREE. We need answers for the disappeared. We need families to know the fate and burial places of their loved ones. We need independent investigations into the October 29 violence and subsequent abuses. We need protection for peaceful political expression and human-rights defenders. And we need the Commonwealth to act when its own commitments and deadlines are not fulfilled. The Commonwealth has already spoken. The 30-day benchmark has passed. WHAT ACTION WILL THE COMMONWEALTH TAKE? Tanzanians are watching. Families are waiting. The world is watching. @SGCommonwealth @commonwealthsec @bwgov @anitaanandmp @mofagrenada @MalaysiaMFA @chrisfearne @ForeignAffairs @samoagov @ZAMBIAMFAIC @Europarl_EN @EuroParlPress @EPPGroup @idualliance @hrw @Amnesty @amnestyEARO @UNHumanRights @davidmcallister #Tanzania #CMAG #HumanRights #RuleOfLaw #FreeLissu #Accountability #Commonwealth #SakharovPrize #Tanzania #CMAG #HumanRights #RuleOfLaw #FreeLissu #Accountability #Commonwealth
6
156
2
322
4,485