Tanzanite (@Tanzaiite) header
Tanzanite (@Tanzaiite) profile picture

Firm pursuit of justice 🇹🇿 Advancing universal human rights through transparency, systemic accountability & dignity."🌱No one is too small to make change 🕊️

Joined May 2026
Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)
The violence and loss of life around Tanzania’s 2025 elections remain deeply concerning. Accountability, inclusive reconciliation, and respect for the rule of law are essential. #UPR53 #Tanzania
10
80
5
179
2,162
. @godbless_lema msikilize Lissu kwa makini. ‘ikiwa hali itakuwa mbaya, mapambano yataendelea” Huu ndio msimamo wa Tundu Lissu, mwanaume mwenye balls. Sasa hizo “strategic engagements” zako zikome mara moja. Lissu hataki kutoka kwa njia haram unazofanya wewe na watesi wetu. Anataka kutoka kwa kutumia utawala wa sheria ili aweze kuwa mpinzani wa kweli. Lissu hataki kurudia kosa la Mbowe, kutoka jela kwa “huruma” za watesi wake. Kila Mtanzania anaelewa kuwa mtu unapokubali uhuru wako uwe chini ya mwenyekiti wa CCM, kwamba yeye ndo anaweza kukufunga na kukuachia huru, huwezi kuwa mpinzani wake bali utakuwa puppet wake huku unajifanya mpinzani. Mfano huu tuliona kwa Mbowe, alikaza siku zote mpaka siku alipokubali kutoka jela kwa maelewano na Samia Suluhu na sio kutoka kwa utawala wa sheria. HILI KOSA HALITAKIWI KURUDIWA EVER AGAIN!!!!!! Lissu kaamua kukaza mpaka haki itakapopatikana, sasa nyie wanasiasa wa hovyo mnaojifanya mnampenda Lissu kuliko wananchi ambao Lissu anawapigania tulizeni makalio yenu yaliofika bei za kina Abdul. Lissu hataki short cut na Watanzania hatutaki short cut. TUNATAKA UTAWALA WA SHERIA NA HAKI na sio mambo ya kupigia simu na kuwapiga magoti watesi wetu……
“If the best [acquittal] happens, I will go straight to Arusha to ‘bury’ my brother. If the worst happens, the struggle continues. It will not be the end of the world; it will simply be a new chapter in the struggle for justice and democracy.” -Tundu Lissu, 5.11.’26 Ukonga Prison
27
131
3
599
23,652
Tanzanite retweeted
Tusikubali lissu kufungwa tujae mahakamani
1
29
95
1,311
Asanteni sana watu wa Mozambique ,Maputo
106
1
342
3,674
Tanzanite retweeted
Wakoloni WEUSI mnajiona mpo salama sana sasa mnapopambwa na CHAWA wenu. Kiuhalisia hamuwezi kuuwa watanzania kwa maelfu mkabaki SALAMA never. Ni suala la muda tuu. Thanks Denmark🙏
17
179
3
756
15,852
Tomorrow, Tanzania’s opposition leader and IDU Executive Vice Chair Tundu Lissu could be convicted of treason, a capital charge, for demanding free elections. Calling for reform is not treason. A conviction would criminalise dissent and silence Tanzania’s opposition Read more here: idu.org/idu-statement-ahead-… #FreeTunduLissuNow 🇹🇿
6
142
4
321
3,866
Watanzania wamechoka na vitisho sasa imetia watu hasira! Lissu anaishi na risasi mgongoni baada ya haya makatili kushindwa kumwua! Sasa wamemweka ndani bila hatia mwaka mmoja na nusu alafu kaka yake mpendwa amefariki hata kuzika hawataki - kisa wanamwogopa wanataka waibe rasilimali kimyakimya! Mmezidi 🚮 Mi nasema jopo la majaji waamue leo wanataka historia iwahukumu vipi! Ila hukumu ya maelekezo haitakubalika nchini, duniani ama mbinguni #FreeTunduLissu
7
119
3
411
11,790
Ujumbe wa Tundu Lissu kwa mujibu wa @Advocate_Kisabo "Nina matumaini kwa ajili ya kesho, lakini pia nimejiandaa kwa hali mbaya zaidi. Hivyo, ikiwa mambo yatakuwa mazuri, nitaelekea moja kwa moja Arusha kumchukua kaka yangu na kumrudisha nyumbani. Ikiwa mbaya zaidi itatokea, basi mapambano yataendelea. Huu hautakuwa mwisho wa dunia; itakuwa tu ni sura mpya katika mapambano ya kutafuta haki na demokrasia katika nchi hii."
15
104
1
299
7,384
‼️🚨Ukweli, Haki na Uwajibikaji si Chaguo: Ni Msingi Wa Mustakabali wa Taifa Letu!‼️ Kumekuwa na viashiria vinavyotia hofu kuhusu mwenendo wa kisiasa na kimahakama nchini Tanzania. Kama raia wa Tanganyika tunapaswa kuvitazama kwa uzito mkubwa na kujiandaa kutetea misingi ya haki, demokrasia na utawala wa sheria kwa taifa letu Tundu Antipas Mughway Lissu ameshtakiwa kwa kosa la Uhaini. Katika shitaka hilo, hakuna kosa mbadala lililowasilishwa ambalo ushahidi wake ulijadiliwa mahakamani. Adhabu inayotajwa kisheria kwa kosa la Uhaini ni kifo kwa kunyongwa. Hakuna mbadala wa kisheria kwenye hatia ya Uhaini kwa Sheria zilizopo. Kuna taarifa za kuaminika kwamba baada ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Lissu, wanaharakati na baadhi ya viongozi wa dini wanaosimama kupinga dhuluma pamoja na viongozi wa kisiasa hasa kutoka CHADEMA waliosimama kwa dhati kutetea haki za wananchi watalengwa kwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka mazito, yakiwemo ya uhaini na ugaidi. Kuna viashiria vya kuandaliwa kwa makundi yanayoweza kujitambulisha kama wanachama au wafuasi wa CHADEMA ili kusukuma ajenda ya maridhiano yasiyo na msingi wa ukweli, haki na uwajibikaji. Tunatoa wito kwa Watanganyika wote, ndani na nje ya nchi, kutokubali kutishwa, kugawanywa, kununuliwa au kutumika kuvunja mshikamano wa kudai haki. Tunapoelekea katika hukumu ya kiongozi wetu Ndugu Tundu Anthipas Mughwai Lissu Ijumaa ya tarehe 6 Novemba 2026, tunawakaribisha Watanganyika na marafiki wetu kutoka kila kona ya dunia kuungana nasi Tusiogope! Tutashinda! A luta continua, vitória é certa! Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika! #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
2
69
2
182
7,149
FREE FREE TUNDU LISSU...FREE FREE TUNDU LISSU ✊🏿 #FreeTunduLissu #FreeAllPoliticalPrisoners
3
80
2
190
2,336
I keep telling anyone who listens that #Tanzania is ran by a bunch of psychopaths and their psychosis will overflow outside the borders! Hear ye! Hear ye! #ChangeTanzania
8
58
1
191
6,883
Tetemeko hili la Kanda la Ziwa si bure! Kuna kitu tunaambiwa! Imetikisa hadi Kenya! Mark my words! Kuna unabii naukumbuka lakini pia timing yake siku moja kabla ya siku ya kihistoria nchini! Haya! #TutaelewanaTu
15
82
2
496
21,588
HUU NI UKABURU "Wazungu wa Afrika Kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao. Tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao. Hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi. Ni makaburu." Mwl.JK NYERERE. Tumefika katika nafasi ambayo ,Tunavuruga chaguzi zetu bila aibu, tunatumia risasi za moto dhidi ya  watoto wadogi hata wasiojuwa siasa, Mamia ya watu wanatekwa na Kupotezwa, Mamia kwa maelfu wanauwawa,wengine hawajukikani waliko,Maiti zinapotea mochwa, sheria za jinai zinatumika kuweka mgandamizo wa kisiasa na kusingizia watoto na vijana wa kitanganyika makosa ya uhaini na Ugaidi. Tuna kamata na kufungulia kesi viongozi wa kweli wa Upinzani na kuendesha mashauri ya hila ili kupata hukumu za hila. Tuna panga kufutia watu uwakili kwa hila bila aibu tukiaminintitawafumba mdomo.Huu nao ni Ukaburu na tutaupinga bila uwoga,hofu wala Upendeleo. UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA. Aluta....Continua.... BAK MWABUKUSI.
25
225
7
647
10,380
Hii namna gani? Nasikia mmeahirisha! Na inawezekana kweli maana muda huu mngekuwa bize kumpokea Chakwera 😁 Chezeya! Sinema imeshaungua hii tafuteni kingine! Hakuna mtu anataka ku deal na ninyi! Na mmemteka Twaha sasa mnakimbiwa kama vile mna ukoma! Nasema #TutaelewanaTu
9
71
2
333
36,430
Twaha always says MSIOGOPE Lissu always says MSIOGOPE MNAJUA KWA NINi? Kwa sababu SILAHA PEKEE waliobaki nayo CCM na Samia na wauaji wao ni KUTUTISHA - wanateka, kuua na kufunga mmoja mmoja ili tuingiwe na Hofu Tuwe PARALYZED with FEAR Ndo maana wanatuchukia wengjne maana tunawaondolea wengine HOFU! Angalieni machawa hata hawa walionunuliwa juzi tu - ujumbe wao ni kusambaza HOFU na kusema hatutaweza kuwatoa hawa wauaji eti turidhiane! Si KWELI ❌ Tumeshashinda ila wanatunyong’onyeza na Hofu! Tusikubali! Have courage wapendwa This is the last push ✊🏽 Mungu wetu atasimama na kudhihirisha Utukufu wake kinachohitajika ni KUSIMAMA IMARA! Tusimame bila hofu tuhesabiwe na tujitokeze kwa wingi mahakamani kesho Mungu ameshamaliza anasubiri tuchukue ushindi! #FreeTwahaMwaipaya #FreeTunduLissu
4
116
2
363
10,808
As an American constitutional lawyer, I have personally litigated cases defending the rights to free expression and due process. These are fundamental principles of human liberty. For that reason, I am closely following the outcome of Tundu Lissu’s trial proceedings, and the broader implications for the rule of law.
250
886
65
2,334
107,755
Baba yetu, Mwalimu wetu, kiongozi wetu, mpambanaji wetu. Anateseka kwa ajili yetu, anapitia moto mkali kwa ajili yetu. Tundu Lissu yuko tayari hata kukiona kifo kwa ajili yetu Je sisi Watanzania tuko tayari kufanya nini kwa ajili yake? Hili ndio swali? Watanzania tusimuangushe Lissu, kama jinsi yeye yuko tayari kufa kwa ajili yetu hata sisi tuwe tayari kwa hilo juu yake… PERIOD!!!!!
49
446
6
2,133
39,255
Justices Dunstan Ndunguru, James Karayemaha and Ferdinand Kiwonde: honour your oath. Defend judicial independence and refuse to let the courtroom become a tool for silencing dissent. Cc @judiciarytz We call for Tundu Lissu’s acquittal and immediate release. Your judgment will shape the future of political freedom in Tanzania. #JusticeForLissu #FreeTunduLissu
9
138
5
299
8,431
Mkiona humu si type type sana jueni kuna mambo 😁 Narudia MSIOGOPE yajayo yanafurahisha! Kuna watu tutamalizana nao kiulaloulalo acha watambe kwa huu muda mfupi waliobaki nao! #TutaelewanaTu
24
141
2
858
26,689