Pinned Tweet
“Dear Lord, Grant me the SERENITY to accept the things I can not change, COURAGE to change the things I can and the WISDOM to know the Difference”
Whatever the judgement tomorrow, Lissu’s speech will go down in the history books! That man is about to shake the nation with just words and to some people they will to accept to walk carrying stains on their souls that will never wash away.
Alietenda kosa kwa huyu binti na aliyeona huruma kufuta machozi wote hawajulikani !
Nakupenda kwa moyo wote nilalapo nakuota wewe🎼🙌🏽
VIDEO:
Tumaini jipya limechipuka kwa Angel Wariaeli, binti wa miaka 13 aliyekuwa kitandani kufuatia kupigwa risasi siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 mkoani Dar es Salaam baada ya mfadhili kujitokeza na kuahidi kugharamia matibabu yake yote ndani au nje ya nchi mpaka atakapotembea tena na kutimiza ndoto zake za kuwa daktari.
Angel amechukuliwa kutoka nyumbani kwao Manzese na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako amepokelewa katika kitengo cha dharura na kuanzishiwa matibabu na vipimo mara moja na madaktari bingwa.
Mfadhili huyo ameahidi kuihamisha familia ya Angel kutoka kwenye nyumba yao ya awali ya Manzese ambayo haikuwa rafiki kwa afya yake na ilikuwa hatarini kuvunjwa muda wowote kwenda kwenye makazi salama, pamoja na kuwagharamia chakula na mahitaji yote ya kila siku.
Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamethibitisha kuanza kutibu vidonda vyake na wameahidi kufanya vipimo zaidi ili kuchunguza uwezo wake wa kutembea tena.
Angel, ambaye alikuwa ametoka kuhitimu darasa la saba na akijiandaa kujiunga na kidato cha kwanza, alipigwa risasi ya bega Oktoba 29, 2025, majira ya saa tisa mchana. Tukio hilo lilitokea maeneo ya nyumbani kwao Manzese alipokwenda kumpelekea dada yake simu kwenye kibanda cha chakula cha familia, ambapo alisikia watu wakikimbia na kisha akapigwa risasi iliyomwangusha chini.
Risasi hiyo iliharibu uti wake wa mgongo na kumfanya ashindwe kutembea au kuendelea na masomo, huku akibaki kulala kitandani tu na kupata vidonda vilivyolazimu asafishwe hospitalini kila Ijumaa.
Albie🏁 retweeted
The music business is a very cutthroat industry that requires a crazy amount of resilience. Most keyboard warriors who sit and tell artists what to do all day wouldn’t even survive a day doing this work.
Albie🏁 retweeted
Music Industry—
You have to play the game in order to beat the game.
Too many people trying to win the game without playing the game or doing the actual business.
This is work, not a lottery.
Kura ilimtoa masta hayo mengine ni ziada tu.
Njia iliyotumika kumuondoa Freeman Aikael Mbowe pale CDM ilitengeneza dhambi kubwa sana ambayo ni hadi siku CDM ije itoke hadharani kukiri ilikosea sana.
As wrong , as villain he might have been portrayed by kundi la watu wale walioamua kum frame vile yule mzee wa watu bado FAM hakutakiwa kuondolewa CDM kwa matusi ya na kejeli za aina ile!
Na baada ya lile kundi kufanikisha lile jambo sasa walifika hatua ya kuwa above the part cannons, above mtu yeyote na wataendelea mpaka siku CDM wajue walikosea kuuza uhuru wao kwa aina ile ya watu.
Hawakuishia kwa FAM na other die hard figures, hawataishia kwa Godbless, etc. na kwa patterns za maandishi yao Mnyika na Amani Golugwa might be the next.
Nabii anaeleweka mimi nakubaliana na kitu kimoja, Tuhuma zisikisemwa juu yako njoo ujitetee ueleweke, FAM alitoka hadharani na hakuna alisema cha kueleweka













