Vunga (@VungaEl74) header
Vunga (@VungaEl74) profile picture

The higher you go the cooler it becomes, Geopolitics News /FOOTBALL/ Fan account

New York, USA
Joined July 2024
Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)Photo by Vunga (@VungaEl74)
Moja ya dhambi kubwa na laana kwa binadamu ni kukatisha maisha ya mtu asiye na hatia hizi damu bado zinalia na zinahitaji haki Mwanzo 4:9 (Biblia Takatifu): Bwana akamwambia Kaini: “Yuko wapi Habili ndugu yako?” Kaini akasema: “Sijui Mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”⁠ Hii ni baada ya Kaini kumwua Habili (ndugu yake) shambani kwa sababu ya wivu,
19
159
2
405
6,055
Hakika mutaendelea kuishi katika mioyo yetu. hii dhambi itaendelea kuhukumu kila mtu aliyehusika nayo. R.I.P Champions 💔🕊️
5
15
28
662
Vunga retweeted
Ngoja niamke nikayashinde majaribu ya kariakoo kama Diamond Uko Uganda 😂
4
6
22
979
Good morning XFamilia🌤
19
31
1
36
280
Unataka ubingwa wa ligi? Simple! Shinda mechi zako hata kwenye mazingira magumu. Kikubwa ni alama tatu. Kwenye msimamo wa ligi, Mnyama anaongoza kwa pointi 27. Anaongoza kwa magoli mengi, 20. Amefungwa magoli 4 tu, machache kuliko wote. Halafu timu inacheza PILA BILIANI, wanangu! Pila ambalo hata ukeshe siku nzima kulitazama, huwezi kuchoka. Hii ndiyo Simba yetu ya asali na maziwa. Unaweza kuwa bora na tishio, lakini huwezi kufunga magoli mengi kila mechi. Kuna wakati utafunga goli moja tu, lakini utaondoka na alama tatu. Fountain Gate chini ya Minziro haikuwa na kingine cha kufanya zaidi ya kile mlichokiona kwenye dimba lao. Mwisho wa siku, quality ya Simba ndiyo iliyoamua mchezo. WATU WEWEEEEEE!
4
33
2,004
Simuoni SIDE akiibadilisha yanga hadi ifikie level inayotakiwa SIDE ni kocha wa daraja la kawaida, Ana miaka mingi anafundisha soka afrika Lakin hana mafanikio ya kueleweka hadi kushawishiwa kurudi YANGA Side ni kocha wa kamali tu Na, naliona anguko la YANGA
1
8
8
331
Asante Finlamd and Canada kwa kuungana na wananchi wa Tanzania Thank you for standing with the People #TanzaniaMassacre
8
58
1,152
Mifuko yako nawewe leo ikajae namna hii,AMEN!!🙏🙏
12
17
32
411
Cristiano Ronaldo 9️⃣8️⃣5️⃣ Hat-trick tonight. 🇵🇹
16
330
Jeshi la Marekani limeanza kufanya mafunzo ya kuchimba makaburi makubwa ya pamoja kwa ajili ya kuzika wanajeshi wake watakaouawa vitani, ikiwa ni mara ya kwanza tangu Vita vya Korea. Katika mafunzo hayo, wanajeshi wamefanya mazoezi ya namna ya kuzika miili ya watu 2,400 ndani ya kipindi kisichozidi saa 24 kwa kutumia makaburi makubwa ya pamoja yaliyochimbwa ardhini. Mafunzo hayo yamehusisha wahandisi wa jeshi, wataalamu wa tiba kinga, viongozi wa dini na wataalamu wa usimamizi wa miili ya marehemu. Lengo lilikuwa kujifunza namna ya kushughulikia vifo vya wanajeshi wengi kwa wakati mmoja bila kuharibu miili, ili iweze kufanyiwa uchunguzi na baadaye kurejeshwa kwa familia zao. Jeshi la Marekani limesema kuwa katika vita vya Iraq na Afghanistan, uwezo wake wa kutawala anga uliwezesha miili ya wanajeshi waliouawa kusafirishwa haraka kurudishwa nyumbani. Hata hivyo, limeonya kuwa vita vya baadaye huenda visiwe na mazingira hayo, hivyo kulazimika kujiandaa kwa uwezekano wa vifo vingi vya wanajeshi kwa wakati mmoja.
1
1
12
961
Njia pekee ya kugundua kua hili goli ni OFFSIDE uwe na uyanga kwanza Nina uhakika, Hata refa angemuazima jicho mwanayanga yeyote ili alitumie wakati wa hii review basi lazima ingekua OFFSIDE Madhara yote haya yanatokana na timu kushindwa kushinda mechi zake
1
5
1
9
619
Wakuu Naomba Repost 🙏♥ Njoo Upendeze kwa Bei Rahis Sana Maboss Wangu ☎0752777167 💰65000
6
32
32
323
Kocha wa zaman wa manchester united SIR ALEX FERGUSON aliwahi kuulizwa na mwandishi "Ni ipi dalili ya timu itakayoshinda ubingwa katika ligi?" Akajibu Ni timu ambayo hata siku ikiwa mbaya kwao na wakacheza vibaya bado wanapata matokeo Mfanozuri SIMBA jana alicheza vibaya lkn👊
1
6
14
571
Walio oa mapema walibahatika. Soko sikuizi limechafuka sana wake hawaonekani wanawake tu ndio wanaonekana .!!😂
4
13
24
359
Nimepitia comments za watu wanao post kuomboleza ndugu zetu waliouawa na wengine kudhulika na matukio ya October 29, 2025 Naona baadhi ya watu wanafurahia vifo na maumivu ya wengine kwa sababu tu wako mrengo tofauti niseme tu Mungu yupo Uhai au mateso ya mwanadamu mwenzako hayapaswi kuwa shangwe kisa tofauti za kisiasa. Leo ni sisi kesho inaweza kuwa wewe au wajukuu zako Tuwe na mioyo ya nyama na tutangulize ubinadamu kwanza, hakuna kitu cha thamani zaidi ya uhai duniani
14
45
1
152
3,625
Umri ni number tu kwa 𝐓𝐇𝐄 𝐆𝐎𝐀𝐓! 🐐🔥👑 Akiwa na umri wa miaka 41, Cristiano Ronaldo afunga PERFECT hat-trick katika Ligi ya Saudi Pro! 🤯🇵🇹 ✅ Mguu wa kushoto ✅ Mguu wa kulia ✅ Kichwa 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐎𝐒𝐓 𝐂𝐎𝐌𝐏𝐋𝐄𝐓𝐄 𝐏𝐋𝐀𝐘𝐄𝐑 𝐄𝐕𝐄𝐑. 🐐💫
5
7
169
Football belongs to the fans! Thank you to all the fans around the world, the Ballon D’Or of All Time is also yours.
17,136
103,031
9,133
537,621
9,896,416
Special kumanina kwa wengine mnaotumia hii siku kama siku ya kupata engagement au impression za Elon. Kumamae zenu, acheni maigizo. Mtu unapost kitu na kuomba "repost" kabisa🚮🚮🚮
7
21
1
63
1,134
Vunga retweeted
🚨ADHABU YA JUA KALI NA MVUA YA EL NINO SABABU NI DAMU YA OCT 29: Mwanzo 4:10 “Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.”
11
57
735
Hawa ni kama vampires anasaka damu za watanganyika! Akili zero! 🚮
Polisi, jeshi wenye silaha za moto watanda katika jiji la Dar es Salaam bbc.in/4iqQ0x9
8
51
189
8,698
Hili jua lilivokali nimekutana na mtu amevaa nguo nyeusi kuanzia chini mpaka juu .
8
19
1
46
786