He dodged a bullet.
"Miladi".?
She is dead because of CCM ys regime actions.
Plain and simple.
If CCM didn't dish out that stinking unpopular card and force/ rig their stay into power,Angel the child couldn't have been shot.
Amb Polepole amongst other pundits warned and called for "maridhiano"before oct 29
DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.”
Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika.
Fuatilia zaidi jamii.app/KifoChaAngel
#JamiiForums #JFMatukio
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Mtoto wa miaka 13.
Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari.
Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu.
Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo.
Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha.
Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote..
Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka.
Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu.
Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema.
Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika.
Pole sana familia ya Angel.
Pumzika kwa Amani Malaika.
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
"October 29 hatukuuana. Hatukuwa na Civil war. Tuliuliwa". Prof Issa Shivji
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
I will never love this CCM government. I honestly don’t know how these people sleep at night, knowing how much suffering they have caused.
29 October should have marked the end of CCM’s political dominance, not the end of so many innocent lives.
I demand Justice!!!💔
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
It’s impossible to believe the death of TAL’s brother and that little girl are a coincidence. We’re in hell and the devil is in charge.
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Kuna msamaria mwema alijitokeza kumsaidia na akataka jina lake lisitajwe ni nani anafanya wema wa namna ile alafu akataka asijulikane?,
lakini akatuma waandishi wa habari wakajionyeshe kuwa wamempa msaada!
Kama hakutaka kujulikana kwanini alituma waandishi?
Pole Angel! 🕊️
Wiki kadhaa baada ya interview ya Kaka yake Lissu, kwa bahati mbaya akafariki.
Siku 18 baada ya Interview ya mtoto Angel, bahati mbaya umauti unamkuta. Sijui nataka kusema nini.
Mungu awape nguvu wafiwa aisee.!
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
🚨❤️🤍 Arsenal have sealed the agreement with Jurrien Timber over new contract until June 2031.
Four year and half longer deal for the Dutch defender, club statement to follow next. 🇳🇱
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
Kuna baadhi ya washabiki wa Arsenal wanashindwa kuenjoy hizi nyakati kwasababu wanahisi tu Arteta sio kocha ila wanamiss moja kati ya nyakati nzuri sana kuwa shabiki wa Arsenal.
Majamaa wameteseka tangu zama za wenger na wanateseka hadi leo😀
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
BREAKING: Norway’s energy giant Equinor detects major ongoing cyberattack.
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
BREAKING: OpenAI's new hacking AI found 35 security flaws in Apple devices, including ways to hijack iPhones and Macs.
FOUR FOUR TWO GUYS retweeted
#BREAKING: Apple's corporate offices reportedly offline amid widespread outage, employees say.












































