Huyu anatakiwa akutane na wale ma-physician wameanza kupractice miaka ya 90 huko.. atam-recommendia Nalidixic acid intern atamwambia ni resistant ila chief atainsist apewe hiyo hiyo... Baada ya siku 3 mgonjwa ataanza ku-improve na arapona
5
456
Gadi Einsokot amewaambia waarabu ili aunde nao serikali, lazima waitambue Israel km Taifa la kiyahudi na kidemokrasia.. na lazima waende jeshini, anataka IDF imara zaidi ya hii ya Netanyahu...
Litakufa jitu😎
Huyu atawapelekea moto mwingi sana magaidi, ni suala la muda tu
Israel's Gadi Eisenkot:
If you are prepared to sign on to the four principles I have presented, you are a potential partner in the national emergency government under my leadership.
First, recognition of Israel as a Jewish and democratic state.
Second, acceptance of the values of the Declaration of Independence.
Third, an obligation of service for everyone, whether military, national or civilian, in order to strengthen the IDF and expand its ranks.
Fourth, recognition of Hamas as a terrorist organization and a commitment to destroying its military and governing capabilities.
1
162
D A L A L I retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA!
Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka.
Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo.
Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua).
Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja.
Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee.
Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA.
Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani.
Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu.
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA!
BAK MWABUKUSI
UMMA umeshindwa kumlinda kiongozi wake..
Prime Raila Odinga usingeweza kumshikilia au kumfunga kirahisi hivyo, UMMA would've smoked your ass vibaya sana😎
D A L A L I retweeted
LIVE: MHE. JOHN HECHE ANAZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA WAANDISHI WA HABARI, teapawt.org/i/broadcasts/2POMgqrOV…
D A L A L I retweeted
Kitu binafsi napenda tupeane nafasi ya kufanya kazi .
Kamanda @HecheJohn , with due respect nashauri don’t pick this bait ya maswala ya kizushi mtandaoni.
Kuibeba hoja hii ni kuwavunja moyo watanzania ambao wangependa kufika kesho mahakamani kuona kama muhimili wa mahakama utajisafisha au kujinasua na maneno aliyoshitakiwa nayo Lissu aliposema “Mahakamani hakuendeki”
Pia wewe kuibeba hoja hii, hata kama ni kweli, inawarahisishia wanaopanga hivi kujua kwamba dhamira yao imejulikana na imepokelewa kwa mikono miwili

















