
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐ A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi
Joined April 2014
- Tweets212K
- Following1.9K
- Followers28K
- Likes269K
VIDEO:
Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wakeup Foundation, Dkt. Veronica Alexander, ametoa ushuhuda mzito kuhusu jinsi alivyofukuzwa kazi baada ya kumpokea na kumpatia huduma ya kwanza mwanasiasa Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi mkoani Dodoma.
Dkt. Veronica amebainisha hayo leo alipokuwa akizungumza na kutoa ushuhuda wake katika msiba wa marehemu Mzee Alute Mughwai Lissu mkoani Singida.
โLakini nilifungua hii NGO kwa ajili ya kusaidia watu wasiotendewa haki na nilisema kazi sio riziki, riziki inatoka kwa Mungu," amesema Dkt. Veronica
Dkt. Veronica amesisitiza kuwa haogopi vitisho kwasababu ya kusimamia ukweli na haki, huku akiwasihi wananchi na Wakristo kuendelea kusimamia haki bila woga wowote.
Msikilize Dr Veronica aliefukuzwa kazi kwa kumpa Huduma ya kwa nza Mhe LISSU mwaka 2017 baada ya kupigwa RISASI 16.
teapawt.org/Innocen89950594/statusโฆ
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
๐ฅนNDUGU ZANGU HII SERIKALI HAPANA ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐ฝโโ๏ธ๐ญ
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
DAKTARI Aliyeongea Leo Kwenye Msiba Wa ALUTE MUGHWAI Huyu Hapa.
DAKTARI Aliyempokea TUNDU LISSU Akiwa Mahututi Baada Yakupigwa Risasi Nyingi Sana โLISSU Alikua Na DAMU 3โ
Week Kadhaa Mbele DAKTARI Huyu Akafukuzwa Kazi.
Msikilizeni Doctor Akimsimulia TUNDU LISSU Tukio Zima ๐
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Tumeonewa na kufanyiwa ukatili mkubwa na viongozi wa CCM na serikali ya CCM kwa muda mrefu sanaโฆโฆ..
Itโs time for a new Tanzania to be bornโฆโฆ..
Tupambaneโฆ..:::
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa
#JamiiForums #Utawala
Dr VERONICA ni Daktari aliempokea Mhe TUNDU LISSU Hosptal ya DODOMA for the first time na kumsaidia kumpa HUDUMA ya kwanza Mwaka 2017 Alipopigwa RISASI 16.
-Lakini baada ya pale Dr VERONICA alifukuzwa kazi
Dr VERO anasema hakujali kufukuzwa kazi kwa kuwa RIZIKI anatoa MUNGU
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Hii huwezi elewa hadi siku ufikishwe Central, Osterbey, Mji mdogo kibaha, na kwingineko. Ndo utajua U turn za polisi
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Hivi Katambi ukiona hii huwa unafikiria nini?? Kama sio njaa ๐
๐
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Leo Viongozi wa Chadema tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti @ChademaTZ2 @HecheJohn tumejumuika na waombolezaji wengine kwenye hafla ya kumuaga marehemu Wakili Alute Mughwai nyumbani kwake Arusha .
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa.
Tusikubali Heche akawa demoralized.
Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani โpeleka motoโ. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa.
Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vitaโฆ..
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
The abduction of Gwamaka Mbughi is a painful reminder that the struggle for freedom in East Africa is far from over. Only recently, we stood together in Kirinyaga to lay to rest the father of Hon. @MarthaKarua. Today, he has been disappeared .
This is no longer just Tanzaniaโs fight. It is a generational struggle for freedom, justice, democracy and human dignity across East Africa.
We cannot afford to surrender the future of our generation to tyranny.
#FreeGwamaka























