MAHAKAMA YA HIPHOP๐ ๐ retweeted
Una mwanamke mzuri?
Basi anatongozwa sana na anaombwa namba sana...
Na ukweli ni kwamba; Kuna baadhi ya wanaume anawapa namba yake ya simu.
Kinachoendelea baada ya kutoa namba yake ya simu sijui, ila namba anatoa vizuri kabisa!
MAHAKAMA YA HIPHOP๐ ๐ retweeted
Being a good person in a cruel world sometimes feels like punishment
MAHAKAMA YA HIPHOP๐ ๐ retweeted
Kuna jamaa hapa mtaani juzi kati alipata ajali, aligongwa na gari (alikuwa na pikipiki)
Kuna msamalia mwema akaja, akamwambia toa password kwenye simu tuwape taarifa ndugu zako...
Na kweli msamalia mwema akawapa taarifa ndugu na jamaa, halafu msamalia mwema akaondoka na simu.
MAHAKAMA YA HIPHOP๐ ๐ retweeted
Kila corner majonzi
Majonzi๐ฅฒ๐๐พ
#29OCT๐๏ธ
#Hatutasahau
MAHAKAMA YA HIPHOP๐ ๐ retweeted
Don Toliver
Cash Cobain
Leo Shimmy
NAV
Lithe
๐๐๐๐๐
MAHAKAMA YA HIPHOP๐ ๐ retweeted
After three (3) years without dropping an Album TOOSII is finally back๐ฅ
Platinum Heart 2 is here hot asf
Give it a ๐๐พ
๐๐๐
MAHAKAMA YA HIPHOP๐ ๐ retweeted
RAPPER TAPELI KWENYE KIWANDA CHA HIP-HOP DUNIANI
Ukitaja jina POST MALONE hakuna mpenz wa HIPHOP duniani asiemjua... Ni msanii mkubwa sana duniani.. na mwenye ngoma nyingi duniani zilizouza hadhi ya platnum za kutosha
SHUKA NA HUU UZI ๐งต๐งต





























