GUZZLE retweeted
kesho kabla siku haijaisha nitakuja niwaambie ndoto yangu nikishatoboa kimaisha
KAA KARIBU NA UKURASA HUU🔔
GUZZLE retweeted
Bongo ni Kama vile wabunge ambao hawajasoma wanakuwa wakweli kuliko wabunge waliosoma.
GUZZLE retweeted
Inaniwia ugumu kidogo mimi na Familia yangu kutoka kwenda shopping kwenye mall yeyote hapa dar kwa sababu wasanii wenu wanishobokea sana sina budi kurudi Netherland




































