Moja Moja retweeted
Sheria zetu za UCHAGUZI NI MBAYA
Huu ni ukweli na hakuna namna tunaweza ficha ukweli, unatakiwa ishi katika kweli
#ChangeTanzania
Moja Moja retweeted
Stop whatever you are doing! Listen up #Tanzania
Vita hii tutashinda - #KatibaMpya ni ile inayotokana na Rasimu ya Warioba!
Tupo tayari tumejipanga✊🏽🔥
Hatutaruhusu uhuni wa Samia Suluhu na genge lake! Asante kwa taarifa Dada wa Taifa 🙏🏽
Moja Moja retweeted
Samia anajua Kwamba wanasheria wa marekani ni kama kina katuga,Ndunguru wa kwenda na porojo .Fikiria samia anavyochezea mabilioni ya pesa kwaajili ya ujinga .
Moja Moja retweeted
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya…….
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
Angalia hili senge la karne , muislam gani mnafiki hivi.Shetani linalovaa nguo .Ibilisi na firauni mkubwa .@jmkikwete @ridhiwankikwete motherfucker you killed thousands of innocent people and you have the got to say this? @UNGeneva @IntlCrimCourt @commonwealthsec @EU_Commission
16
Moja Moja retweeted
Huyu ndo Dully ze Teja anaendesha nchi na midume mizima inashindwa kumwambia akwemdeeeer!
Kweli kuanzia vyombo vya usalama hadi CCM hakuna mzalendo hata mmoja mwenye backbone (or balls) za kum challenge jamaa?? Wote wameufyata - wanatii amri zake haramu na za kipumbavu!
Ila #TutaelewanaTu very soon maana Simba wa Tanganyika Tundu Lissu looked Abdul in the eyes na kumwambia “gerrautahia” ✊🏽
Hadi leo teja haja recover!
#FreeTunduLissu
Msenge wewe, ila tunatoboa kwa kuteka na kuua watu.Which is worst ? Mbona hukemei utekaji, uuwaji?
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, amesema Waafrika hawawezi kufikia maendeleo ya kisiasa na kijamii kwa kujenga mijadala inayotawaliwa na chuki, hasira na matusi, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu tofauti za maoni na kuthaminiana.
Rioba amesema mjadala wa sasa kuhusu Katiba Mpya unapaswa kwenda zaidi ya tofauti za vyama na makundi ya kisiasa kwa kujikita katika historia ya madhila waliyopitia Waafrika na namna Katiba itakavyohakikisha hayajirudii.
Ametoa msisitizo huo akieleza kuwa mjadala wa Katiba Mpya haupaswi kupoteza mwelekeo kwa sababu ya mijadala ya Simba na Yanga au CCM na CHADEMA, bali uwe nafasi ya kujiuliza maswali magumu kuhusu historia, utu na mustakabali wa Waafrika.
Akitolea mfano wa historia ya Ubelgiji, amesema mwaka 1958 nchi hiyo ilikuwa na maonesho ya binadamu weusi katika mazingira ya bustani ya wanyama, akitumia mfano huo kueleza umuhimu wa Waafrika kutokusahau madhila ya kihistoria wanapojadili haki za binadamu.
Amesema falsafa ya Kiafrika ya Ubuntu inapaswa kuwa msingi wa mahusiano ya wananchi, kwa kutambua kuwa utu wa mtu mmoja hauwezi kutenganishwa na utu wa mwingine, hivyo kumdhalilisha mwingine ni kujidhalilisha mwenyewe.
Rioba pia amekosoa tabia ya baadhi ya watu kushindwa kuheshimu maoni yanayotofautiana na yao, akisema ni jambo la kushangaza kwa wanaosisitiza misingi ya demokrasia kushindwa kuvumilia mawazo ya wengine.
Amesisitiza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwa sababu ya kuvunjiana heshima, bali Watanzania wanapaswa kujenga utamaduni wa kusikilizana, kustahimiliana na kujadili masuala ya msingi kwa sababu, kama alivyosisitiza, “Hatutatoboa kwa chuki, hasira na matusi!”
16
Moja Moja retweeted
Kosa la kwanza tulifanya ni kutosimama na Mtikila kuipigania Tanganyika
Sasa tusikubali huu upuuzi wamefanya kwa Lissu
Moja Moja retweeted
My message to the Paris Peace Forum
@ParisPeaceForum
From November 10 to 11, you will be having the peace meeting
I understand Samia will send representatives to this peace meeting, but I ask you not to accept the lies spoken by this government, which was not elected by the citizens, because there is no peace or safety for us citizens in Tanzania. Every day, some killings and abductions are being carried out openly under Samia Suluhu; he has already jailed Tundu Lisu with no evidence. This meeting should make Samia accountable because she is preaching what she does not practice; I mean, she speaks peace from the mouth, but in action she is killing us, so I urge all the members to stand firm on behalf of Tanganyikans and help us to raise our voices and request the urgent actions to be taken against Samia
@jeangene_vilmer
@MariaSTsehai
@AdvocateMaria92
@lifeofmshaba
@mangekimambi
@HildaNewton21
@CuteMaria26
@Jasmine_Renate
@SautiWatanzania
Everytime a fucker bring bs here, we go after their bitch/ the killer @SuluhuSamia .So if they really respect her they better stop huu usenge
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria. Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
22
Moja Moja retweeted
Kuna Ibada Zinakuwa nzuri unatamani muendelee tu. Unatamani kila unaposomewa neno moja liwe na sadaka yake. Huu ndio Ukristo na haya ndiyo mafundisho bora
Moja Moja retweeted
We condemn the Tanzanian judiciary for convicting and jailing @TunduALissu for a crime he wasn’t charged with and had no opportunity to defend against.
Shouldn’t @TunduALissu be released on the basis of “time served” even on the fake incitement sentence so that he can conduct his appeal from outside? The pre-trial detention he has been subjected to is equivalent to 5 years already.
Let us demand that Tundu Lissu must be freed. #FreeTunduLissuNow
We condemn the judicial ambush of CHADEMA Chairman Tundu Lissu, whose acquittal on capital treason was immediately followed by a four-year prison sentence for incitement. This is a grave assault on the rule of law and a calculated attempt to silence the demand for democratic reforms.
The United Green Movement (UGM) Party led by @dkmaraga stands in unwavering solidarity with Tundu Lissu, his family, CHADEMA and the people of Tanzania in their struggle for democracy, justice and constitutional freedoms.
We remain steadfast in our commitment to democratic liberation across our Jumuia. No amount of state terror, cross-border abductions or political imprisonment will stop the march for Mageuzi.
The march for Mageuzi cannot be jailed!
Read the full statement below.
Kumekucha!
@TunduALissu @ChademaTZ2 @USAmbTanzania @TitoMagoti @HecheJohn @MariaSTsehai @judiciarytz @kattoloo @NetoAgostinhoMP
#UGMParty #TunduLissu #Mageuzi























