Lekule (@nonstopfrale) header
Lekule (@nonstopfrale) profile picture

one tweet at a time |Telecom Engineer| MBA| Entrepreneur |MUFC| Tech Enthusiast | @tanfeeds | @lucksomeTech

#255
Joined September 2011
Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)Photo by Lekule (@nonstopfrale)
Sema kuwa msanii tabu sana, imagine unaenda club au lounge flank kuchill upate burudani wanaanza kupiga ngoma zako, ngoma ambazo umechoka kuzisikia kila siku πŸ˜‚
3
2
2
10
895
πŸ”΄πŸ”™ Mauricio Pochettino: β€œChampions League Final 1999… I was there, Toni Jimenez too. We were shouting for Manchester United from there”. β€œI was so excited to see Manchester United!”.
420
2,455
338
43,960
1,374,151
Mic ya redio kubwa kama hiyo afu mtu akigeuka pembeni hasikiki
Marioo kagombana na Mbosoo Marioo kagombana na Ibraah Marioo kagombana na Black Marioo kagombana na Vanilla Marioo kagombana na mavokali Marioo kagombana kadhulumu influence. Kunatatizo kwa Jamaa sio sirii πŸ˜‚πŸ˜‚
1
271
Hata Msipotuchekea Tunaleta Hilo Li Grammy😁🫡
27
57
5
475
38,739
Mauricio Pochettino has agreed to become the Manchester United men’s head coach.

6,156
16,269
6,599
105,704
8,155,146
China wali kitimoto unapata kwa buku mbili tu na minyama kama yote πŸ˜‚
Pork has three religions waging war against it and it’s still the most consumed meat in the world. No one can dim your light if you are the best.
3
6
1,214
Huu mchongo wa Hanscan kumuigizia mwana anayeongea kama AI wa kiduanzi sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna mtu alisha wahi kufanya vita na watu wa betting alafu akashinda Hanscana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Amini kwambaπŸ˜…πŸ˜…
2
1
1
20
2,751
Mimi mkanda wangu ulipotea hiyo kesi yake balaa πŸ˜‚
Kabla sijavuta jiko ilikua namna pekee ya kupunguza nguo zilizochoka ndani ni naivaa naenda dukani nanunua mpya ile ya zamani naiacha hapo, inakua kama tragedy of the common, saivi utoke na tshrt ya blue urudi na nyeusi usiku itabidi uende na record ya cctv
18
5
8
49
16,000
Siku ukitoka na uhamiaji unakua na amani sana. Visa mpaka asubuhi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
5
2
1
22
1,923
Gen Z hawakushuhudia prime ya Nikki, Stereo na One Incredible. Nawaonea sana huruma wadogo zanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
39
50
11
702
23,226
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilikuwaga naenda kwenye chimbo moja la maafisa utamu na nikawa naonana na afisa huyo huyo mmoja siku moja akaniambia β€œMbona unakujaga kila siku si unioe tu”
1
1
1
287
Kwanini business class ya SGR kila kitu free kasoro bia? Tena bei ni kubwa kuliko mtaani. Si wangefanya hata bei elekezi tu? At least bia ya kwanza wangefanya free
3
1
2
19
2,061
Hadi kala jeremiah yupo na mbishi hayupo?
Top ten (10) ya marapa bora wa muda wote TZ. 1. Profesor jay 2. Mangwea 3. Fid Q 4. Jay Moe 5. Roma Mkatoliki 6. Mwana FA 7. John Makini 8. Chid Benzi 9. Kala Jeremiah 10. Darassa Source. East
1
3
397
French embassy pale nje wameweka picha za wafaransa wanaoitangaza nchi yao na achievements zao. Balozi za Tanzania zitaweka kina nani? ( ukiacha wanasiasa)
3
294
#HipHopFamily darasa πŸ‘‡πŸΏπŸ§‘πŸΏβ€βœˆοΈ
2
19
145
7,071
Carrick should get the sack today
1
1
1
680
Nlikua sijawahi kutafakari ile mistari asee
1
354
I used to rap this word by word. One hapa alitoa kitu
Song : Debt 🎢 Artist: One The Incredible Producer: Duke Tachez 2012 Productions: M - Lab Records πŸŽ™οΈ
2
1
3
360
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Replying to @grandtheftnoise
Give this young man a chance. I'll make you feel 19 again 😌
1
1
204
πŸ˜‚ Works everytime
should I be offended by this
36
592
57
9,837
445,643