#MagufuliLegacy (@saitech_hack) header
#MagufuliLegacy (@saitech_hack) profile picture

Ukweli na Uwazi huleta uwajibikaji na maendeleo chanya kwa Taifa

Venezuela
Joined December 2016
Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)Photo by #MagufuliLegacy (@saitech_hack)
Mimi ni shuhuda wewe?
1
5
1
5
521
Wewe matako unahangaika na mambo ambayo sio size yako sikiliza we fara hangaika na Kihongosi na Kawaida huyu mwamba muachie Samia na hata yeye hana uwezo sema ni uchaguzi wa taifa na polisi ccm kwakutumia mahakama na mtumtu pekee lakini huyu sio size yako kaka kabisa
Brother say all you want ila Chadema ya Lissu ndio the sole reason for all this kutaka siasa za NGINJA NGINJA na wakisema kabisa hii style itaumiza watu. Walijua kabisa UASI unaweza kumwaga damu ila LISSU akasema atafanya hivo ili “aheshimike”. Na story za binti kama huyu ziwe fundisho kuwa AMANI ni ya kulinda sana sababu madhara yake yanatukuta WOTE bila kuchagua chama au dini au kabila.
1
77
#MagufuliLegacy retweeted
CCM MATAPELI sana, hongera sana mkuu umewapelekea moto sana wiki hii.
1
18
1,509
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka
Mawakili naomba mtusaidie, Je! Tundu Lissu kukata rufaa, haitakiwi tena kuijadili hii hukumu? @Advocate_Jebra @omari_manyama @PMadeleka
1
4
1,126
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka
Nimeusubiri kwa hamu kubwa sana huu mdahalo. Wakoloni weusi 🚮
1
1
35
2,272
#Germany #mediation #me #Culture #🇩🇪 – at Dar es Salaam, Tanzania
1
2
22
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka
Shule muhimu sana hivi vyeo vya kugaiana kama biscuit ni vibaya sana
1
3
311
Watanzania, JOHARI asie na degree ya sheria alikuwa serious kuhusu mimi kurudishwa TZ.
102
293
7
2,373
191,381
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @mangekimambi
TOP SECRET ya MUUAJI Samia na WAHUNI wenzake VIBAKA na akili zao takataka mavi. @HecheJohn yupo sahihi. NCHI yetu haitaji TOP SECRET ya KUTEKA KUTESA KUUA watu wake. #SamiaMuuajiMustGo #CcmMustGo #FreeAllPoliticalPrisoners #JusticeForMO29
2
5
761
Replying to @mangekimambi
Uzuri marekani wakimtaka mtu hapa,wanakuja kumchukua na hakuna kitu watafanya,kwa jeshi hili la wapasua matofali kwa ugoko😂😂😂
3
4
73
4,584
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @mangekimambi
Samia the Butcher should stop wasting US, EU and Tanzania tax payer's money to attack people who expose her corrupt Govenment. Peaceful protest is not a crime. Tell us who shot the unarmed protestors on election day October 29, 2025 and who is abducting people.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #SaveTanzania #TanzaniaMassacre #KatibaMpyaNiSasa #SamiaMuuajiMustGo #CcmMustGo #JusticeForMO29 #FreeAllPoliticalPrisoner @EUparliament @GovOfUSA @IntlCrimCourt @usembassytz @SwedeninTZ @UNHumanRights @UN_HRC @hrw @amnesty
6
10
1,664
#MagufuliLegacy retweeted
"Funzo ambalo ametuachia Mzee Alute ni misimamo na kusimamia haki." Mhe. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14
86
1,725
#MagufuliLegacy retweeted
Hawa jamaa ni matapeli sana, waongo mpaka sheteni anaogopa. Sikiliza mwenyewe.
123
271
13
1,418
86,096
#MagufuliLegacy retweeted
Tuendelee kujifunza kutoka kwa mwl. wa sheria kwa muda mrefu Wakili Kilatu.
5
69
1
285
17,009
#MagufuliLegacy retweeted
Leo CHADEMA Wameunguruma naona UPANDE wa pili wako uvunguni📌
13
101
571
15,360
#MagufuliLegacy retweeted
VIDEO: Wakili Peter Kibatala @PKibatala_ alipoulizwa mtazamo wake kufuatia hukumu ya miaka minne gerezani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kutokana na kosa la uchochezi na juu ya rufaa dhidi ya hukumu hiyo amesema kuwa yeye binafsi anaona yapo mambo lukuki ya kujadiliwa katika Mahakama ya Rufani juu ya hukumu hiyo. "Mimi kama Wakili kama nitapata nafasi ya kuchakata rufaa kuna mambo 1,000 ya kusema lakini kuna mahali pake pa kuyasemea lakini hata niseme nini sasa hivi haitabadilisha kile ambacho tayari kimeamuliwa" Amesema Wakili Kibatala jana Novemba 10, 2026 Mahambe, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida aliposhiriki mazishi ya kaka wa Lissu Marehemu Alute Mughwai Lissu. Hata hivyo ameongeza kuwa mwenye uamuzi wa nani atakuwa kwenye jopo la Mawakili watakaochakata rufaa hiyo ni Lissu pamoja na chama chake cha @ChademaTZ2 na kama akiwepo kwenye timu hiyo basi atashiriki.
12
102
1
766
37,809
Replying to @D54onSeT
Shida Kuna watu wako ofisini wanajifanya wao ndo kilakitu
2
1
3
65
Hiii boda ya holili mwisho wa kufanya kazi 11 jioni ...,magari yamekuwa mengi sana shidaa inahazia TRA makao makuuu .yani docmenti za mizigo zinatumwa dsm ndo zifanyiwe kazi hapa holili hawana hiko kitengo paka Mtu wa makao afanye kazi Sasa kwanini hiki kitengo kisije holili
6
13
56
1,772
#MagufuliLegacy retweeted
Mtume Muhammad (SAS) Alitanabahisha. Alama za mtu mnafiki ni tatu. 1. Akisema anadanganya. 2. Akiahidi hatimizi. 3. Ukimuamini anakufanyia hiana. Ee Mungu tuondolee mtihani huu ili daima tuwe wakweli na kuwatimizia wenzetu haki zao ili tuaminike kwao na kwako. Amina.
6
9
2
51
2,360
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka
mtu pekee hukumu ilivuja, wakaona aibu kukanusha na waka-minus mwaka... unashtakiwa kwa kosa la kubaka halafu unahukumiwa kwa kupga nyeto 😂🚮🚮
1
2
35
1,490
#MagufuliLegacy retweeted
TUNDU LISSU Hapaswi Kua Gerezani
11
221
1
1,326
42,686