Master of whispers 🤗 (@LordVarrys) header
Master of whispers 🤗 (@LordVarrys) profile picture

| SouthPaw| Left-handed | Libertad o nada. | |Patria o muerte.| MtAnGaNyIKa🚩 oct 29| #TeamManU

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2013
Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)Photo by Master of whispers 🤗 (@LordVarrys)
Master of whispers 🤗 retweeted
Mtoto wa miaka 13. Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari. Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu. Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo. Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha. Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote.. Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka. Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu. Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema. Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika. Pole sana familia ya Angel. Pumzika kwa Amani Malaika.
42
258
4
866
18,624
mnyika asimamie kanuni za nidhamu za chama, na chadema isivumilie wanaopingana na maamuzi rasmi ya chama, tena waziwazi. mtachanganya w’nchi. chama kimeweka msimamo wake hadharani kuhusu kinachoitwa maridhiano, kujitokeza na kusema tofauti ni kiwango cha juu cha kukosa adabu!
19
114
7
518
21,066
Master of whispers 🤗 retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI. Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi. REPOST 200
35
603
4
2,393
68,524
Master of whispers 🤗 retweeted
Msikubali kufanya maridhiano yeyote baada ya uchaguzi mtakuwa watu wa ajabu mnoo Mh.Polepole aliyajua haya na alijua mipango yote Haya maridhiano ya usalama wa taifa na #Ccm yaliandaliwa kimkakati kabla hata ya uchaguzi mwaka jana Msihofu sisi ni washindi msitishwe na mbwembwe
5
46
3
144
4,759
Master of whispers 🤗 retweeted
MARIDHIANO IN SUMMARY 📖 "Tuliwaua kwasababu mlijitakia, lakini njooni tuzungumze tuone namna gani tutapunguza kuwaua zaidi"
4
47
165
2,224
maridhiano hufanywa na pande zinazotofautiana, kukiwa na mwendeshaji huru. kukusanya watu wanaokusifia kila siku na kuita hiyo sehemu ya mchakato wa maridhiano ni hadaa. ccm/serikali haiwezi kuikwepa chadema, na wadau wengi elfu wasioridhishwa na mwelekeo wa nchi. tuwe 'serious.'
22
183
787
12,274
Master of whispers 🤗 retweeted
Fundi TANESCO Katika Maridhiano ya vyama briefcase..Hawa ndo walikua kitengo cha kukata umeme MO29
22
84
3
565
40,056
Master of whispers 🤗 retweeted
😂😂😂😂
141
822
52
4,573
107,090
Master of whispers 🤗 retweeted
Priceless
7
165
1,098
11,024
Master of whispers 🤗 retweeted
WATANZANIA, tusikubali AFCON ikawapa ushindi wauwaji wa OCTOBER 29. TUHAKIKISHE afcon inaonyesha dunia kilichotokea Tanzania OCTOBER 29 2025…. NA KWAMBA TUNAJITAJI MSAADA WAO………
52
334
4
1,904
69,254
Master of whispers 🤗 retweeted
Sawa tuambie Yupo wap Nchimbi Yupo wap PolePole Yupo wapi Deusi Soka Nani anajukumu la kulinda usalama wa Raia wake
Focus yetu huwa ni kwenye mambo petty, yale ya msingi tuna ya ignore
1
7
57
1,421
Master of whispers 🤗 retweeted
1. Kwa JK pesa ilipigwa, lakini walioipiga hawakuwa na showoff sana, na waliingiza mtaani kwa kiasi na ule mzunguko ukawafikia na wateule wachache. 2. Kwa Banza pesa ilipigwa zaidi kuliko kwa JK, tena ilipigwa kibabe mno, lakini na kikundi cha watu wachache tu. (Push Gang) and a few elites walionunuliwa ku~join the move! Na hapo ndipo kukazaliwa tabia ya #Uchawa as a way ya kukutana na hizo pesa. Lakini hawa hawakuileta pesa mtaani, walibaki na vibunda vyao majumbani na mtaani vyuma vikakaza kweli!! 3. Kwa 🧕 sio tu imepigwa pesa…NO! Ni limemwagika BEGI, kwa lugha nyingine tunasema limeshuka kontena, wahuni tunaliita Teke la Van~Dame!! Bag 💰 hili liko chini ya familia. Hawa sasa wamekuja kitofauti kabisa, kwanza wana show-off, wana~spend mno kwa matumizi yao binafsi na sio uma…. And they don’t give an “F” Yes, hawajali, hawaogopi. Hawa formula yao ni…. You’ll only eat if you’re in their circle. Ukiwa mtaani basi chain hii itakufikia kama tu uko kwenye circle yao na unaongea lugha yao. Kinyume na hivyo wewe ni adui kwao, hutakula na watakushambulia kama adui! Kingine hawa wa sasa ni wakatili sana, as a way ya ku-secure bag lao. #NB Ukatili huu waliurithi kutoka awamu ya Banza, lakini wao wameu-double. Ndio tupo hapo sasa 2026!!! Hatupendi, hatutaki na haikubaliki mpige pesa zetu. Ndio maana tunawakemea!! Lakini basi angalau mkishazipiga msizifanyie matumizi binafsi….zirudisheni mtaani mlisaidie taifa. Fufueni na jengeni viwanda vipya then ajirini maHomeboy wangu walipeni vizuri wazalishe products, huku na wao wanafanya maisha. Degree holders tupo nao kitaa asubuhi tunaendesha TukTuk 🏍️ jioni tuna~bet……….hii sio kweli maisha gani haya!! Jengeni sports academies bora kila mkoa, kuzeni vipaji madogo wapungue mtaani wawe busy na wapate ajira. Kuna mabinti hawapendi kudanga ni dhiki tu na kukosa fursa, wana ndoto, ni wamekosa tu pakuanzia!! Jengeni masoko na mall za kisasa, wapeni vizimba na mitaji waanzishe biashara… wapeni nguvu za kujitafutia Nunueni hata mabus basi special kwa wanafunzi tu, watoto wetu kuwapeleka shule bure, tuwaepushe na changamoto za usafiri, mtatupunguzia wazazi stress…. mbona inawezekana chap kwa tu! Doing so👆mtapunguza sana kelele,lawama hasira na chuki mtaani. And last but not least, msiteke,Msiue,Msifunge wasio na hatia….!!
82
225
7
1,606
90,944
Master of whispers 🤗 retweeted
Tunaelekea kwenye ushindi wa haki kwenye nchi yetu. Don’t take your foot off the gas…
35
293
1
1,836
89,792
Master of whispers 🤗 retweeted
DPP Mwakitalu na mahakama ya Tanzania chini ya Jaji mkuu Masaju. Mnafuta mfumo wa vyama vingi vya kisiasa Tanzania, kwa kutumia ofisi ya DPP na mahakama za Tanzania. Mnawafungulia wapinzani wa kweli wa ccm na Samia, kesi za uongo za Ugaidi na uhaini na kuwafunga kwa hila. Ni wajibu wetu Watanzania kukataa kurudishwa kwenye mfumo wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm. Kikubwa zaidi historia itakuandika Mwakitalu na Masaju mnavyopaswa kuandikwa.
27
363
6
1,450
45,072
Master of whispers 🤗 retweeted
SOLIDARITY WITH TAL. Siku ya 5 JELA bila HATIA. TUTAFIKA TU 05. 11.11.2026.
4
22
370
Master of whispers 🤗 retweeted
🥹NDUGU ZANGU HII SERIKALI HAPANA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙇🏽‍♂️😭
32
183
11
949
73,007
Master of whispers 🤗 retweeted
HRF condemns the four-year prison sentence handed to Tanzania’s jailed main opposition leader, Tundu Lissu, and the arbitrary detentions of at least 10 members of Lissu’s party in recent weeks. For over a year, Tanzanian authorities dragged Lissu through a protracted show trial on a fabricated treason case they ultimately failed to prove in court. Then, high court judges stepped in at the last minute to save the face of the regime by convicting Lissu of a brand-new charge, one he had not faced throughout his lengthy trial, and sentencing him to four years in prison. Tanzanian dictator Samia Suluhu Hassan is so afraid of her most serious political opponent that she is using the courts and the police to keep him in jail and dismantle his movement. #FreeTunduLissu
1
86
2
212
4,742
Master of whispers 🤗 retweeted
Mwenyekiti wetu aachiwe huru haraka. Acheni kuteka watu na kuua watu.
16
252
1
1,366
23,857
Master of whispers 🤗 retweeted
Una-dictate vipi MARIDHIANO wakati wewe kama Raisi ndio Mlalamikiwa/Mtuhumiwa namba moja,achana hata na hizo sanaa unazoendelea nazo huko Zanzibar ambako hakukuwa na Mauaji 29/10/2025? Haya mambo ndio yanachochea Hasira. Stop this Nonsense @SuluhuSamia
3
12
55
3,821
Master of whispers 🤗 retweeted
GenZ mnapoipeleka hii nchi 😅😅
32
103
3
905
43,441