Pinned Tweet
Mwanaume ni
Mhimili wa familia ,mlinzi wa familia,mfanyakazi bora na mdhibiti mkuu wa maadili ya familia,mbeba changamoto na mtatuzi wa matatizo ya familia.
Nawatakia Siku yenu njema na Mungu awasimamie katika kutekeleza majukumu yenu yote ya familia na Taifa
Nawathamini🙏
Editha retweeted
Shuka 1, foronya 2
Tsh 25,000
📌Size ipo kwenye picha
Mtumba grade 1, Pure cotton
0755693113
📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma¹
Good morning
Shuka 2, foronya 4
Tsh 50,000
#mtumbapurecotton
0755693113
📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma
Editha retweeted
Hivi kwanini wanawake wanaweza kuvumilia UMASIKINI WA WAZAZI WAO, lakini hawawezi kuvumilia umasikini wa mwanaume wake??
Editha retweeted
Replying to @EsirEid
Naamini unajitoa na kusaidia sanaa watu
Kwanini usiwatafutie njia nzuri ya kujikwamu iwe kazi au mtaji ili na sisi tuweze kubebana pela tumejaliwa tumefanikiwa
Editha retweeted
Mafanikio hayana ratiba moja kwa kila mtu. Usijilinganishe na wengine wala kukata tamaa kwa sababu hujaona matokeo ya juhudi zako.
Jenga nidhamu, vumilia, weka akiba, ongeza maarifa na endelea kufanya kazi kwa malengo yako.
Editha retweeted
Uzembe ni nini?
Uzembe ni kufikiri watu wanaelewa maumivu na aibu unayopitia kwakuwa na Uchumi legevu kiasi cha kushindwa kupata basic needs,
Side B wewe hutumika kama mfano wakitoa lesson kwa kadamnasi kuhusu mtu mzembe na mjinga asiyeweza kujikwamua kiuchumi,
Stay FOCUSED.
Editha retweeted
Hii population naona mtaani ni uthibitisho hii nchi tupo wengi, aisee watoto ni wengi mno 😆
Editha retweeted
Tabia yangu mie nikuheshimu watu wote hadi watoto, ila chakushangaza watoto hawaniheshimu.. itabidi nibadilike sasa, niwe natia makonzi.
Editha retweeted
Mwanaume ni
Mhimili wa familia ,mlinzi wa familia,mfanyakazi bora na mdhibiti mkuu wa maadili ya familia,mbeba changamoto na mtatuzi wa matatizo ya familia.
Nawatakia Siku yenu njema na Mungu awasimamie katika kutekeleza majukumu yenu yote ya familia na Taifa
Nawathamini🙏
Editha retweeted
Usitumie muda mwingi kuangalia nyuma wakati maisha yako ya mbele bado hayajajenga
Good morning Friends
Editha retweeted
Nakumbuka mwaka 2022 nilipata mpenzi Tabata sasa kwakuwa nilimuona katulia siku moja nikamwambia naomba tufunge pingu za maisha akaniambia ngoja niongee kwanza na mpenzi wangu kama atakubali kuniacha..🥲😭
Editha retweeted
Kuna umri ukifika huitaji kuskia sauti kubwa ya Tv au Radio kifupi kwamba huitaji makelele ya namna yoyote ile.
Editha retweeted
Good morning
Pressure cooker inapika kila kitu Kwa haraka sanaaa
Tsh 120,000
Sufuria mbili, Lita 6
0755693113
📍 Riverside
Editha retweeted
Kuna Vita kubwa sana kwa watu wa MSAADA aliobeba NENO LA MUNGU.
Lakini MUNGU huwarejesha kwa nguvu na kishindo kikubwa mno.
Usipigane na mtu wa MSAADA aliyeandaliwa kuisaidia Familia, Kanisa au Taifa.
Maandiko yanasema hivi kwa ajili yao; "nitakuwa adui wa adui zako na mtesi wa hao wakutesao asema Bwana wa Majeshi."
Mtu wa MSAADA anaweza asiwe na kampani kubwa, asiwe na jeshi la kumvusha, asiwe na hela ya kumsaidia. Lakini MUNGU wa Majeshi ndiye nguvu yake daima.
Mungu akitokeahakunaw adui atakayeweza kusimama mbele yake na kufanya Vita naye.
Usimtese mtu wa MSAADA aliyebeba NENO LA MUNGU kwa ajili ya maidha yenu.
Upako uliopo juu yake ni mkubwa kuliko chochote. Muda ukifika hakuna wa kuendelea kumshikilia.
Nakuombea Bwana akukutanishe na mtu wa MSAADA ili uende level nyingine ya KIMAISHA.























