P ReYeS (@POrgenes) header
P ReYeS (@POrgenes) profile picture
Arusha, Tanzania
Joined May 2022
Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)Photo by P ReYeS (@POrgenes)
P ReYeS retweeted
Chunga moyo wako uelewe zaidi sehemu ambayo unapendwa mana maumivu ya dharau za kutopendwa zinaumiza
2
5
118
Kumpenda mtu asiyekupenda kudadeki ni maumivu sana😮‍💨😮‍💨😮‍💨💔
4
16
28
496
I might not be a 10/10, but I serve Clean Elegance 👌🏾. So trust me with your Suit Orders. #NdiMutunzi_Wa_Ngoye🪡🧵👗👔👖 +256759236201
61
97
5
378
4,565
P ReYeS retweeted
Mwanaume ni Mhimili wa familia ,mlinzi wa familia,mfanyakazi bora na mdhibiti mkuu wa maadili ya familia,mbeba changamoto na mtatuzi wa matatizo ya familia. Nawatakia Siku yenu njema na Mungu awasimamie katika kutekeleza majukumu yenu yote ya familia na Taifa Nawathamini🙏
6
21
31
473
Leo ninachagua kushukuru kuliko kulalamika, kuamini kuliko kuogopa pia kumtumaini Mungu kuliko kukata tamaa. Good morning wasakatonge wenzangu
19
31
51
614
P ReYeS retweeted
Hakuna pesa inakosa matumizi ukiona mtu amekupa amekuthamini, kuwa na heshima kiazi wewe..!🫵🏽
5
22
60
782
P ReYeS retweeted
📖Zaburi 30:5 "Kilio hukaa usiku, lakini asubuhi huja furaha." Asante Bwana, Alhamisi hii ni ya ushindi na baraka. Amina 🤲
7
16
30
405
Usikimbilie kueleweka na kila mtu sababu hata bahari yenyewe pia haiwezi kueleza kina chake kwa kila anayepita au kuogelea juu yake 🤔 .
2
18
26
200
Siyo kila mlango uliofungwa ni hasara; mingine imefungwa ili kukuokoa na maisha ambayo hayakuwa yako 🤔 .
1
14
23
242
Jifunze kuthamini ulicho nacho huku ukipambana kupata unachotamani. Good morning
7
7
10
119
"Kuna wakati ukifika utagundua kuwa kuongea mwenyewe sio kuchanganyikiwa"🤣🤣🙌
3
19
33
565
Maisha bora na mema si yale tunayoishi kwa ajili yetu pekee. Bali yale yanayogusa na kubadilisha maisha ya watu wengine.
8
30
65
841
Mungu atujalie afya, akili ya kutafuta, moyo wa kuvumilia na hekima ya kutumia tunachokipata. Tusipambane kutafuta fedha pekee, tupambane pia kujenga maisha yenye amani, heshima na uhuru wa kifedha. Good Morning Family
14
31
60
643
Good morning Kumbuka hakuna mtu atakayekuja kubeba ndoto zako kwa niaba yako Kama unataka maisha yako yabadilike anza na wewe mwenyewe
26
37
49
664
P ReYeS retweeted
Zaburi 121 :7-8 Bwana atakulinda na mabaya yote,atakulinda nafsi yako.Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. Nawatakia siku njema 🙏
11
22
26
337
Fedhea inauma kuliko njaa Usimroge mtu sababu ya ridhiki wala usimfitini mtu sababu ya ridhiki 🌚 – at Dar es Salaam, Tanzania
3
26
46
767
Usikubali maisha yakufundishe kwa gharama kubwa kiasi kwamba historia yako iwe onyo kwa wengine.
5
21
71
1,161
P ReYeS retweeted
Kwanini ukishajua mwanamke Yupo na mwanaume upendo na huruma kwake inapotea? Ni Mimi tu??
16
21
1
87
3,101
Saiv hamgusi tweet zangu yaan kama hamnijui😮‍💨😮‍💨😂😂💔💔
33
47
4
139
4,575
sisi huku Jombe hizi ndo nyezo zetu za kutuingizia kipato vipi huko nyie mnatumia nyezo gan? wakuu💪🏿
6
17
2
29
537