ochola..🦅⚠️ retweeted
Hizi njumu angeziona yule sheikh wa Millenials wa Kiwalani, ungesikia hii nembo ni ya Devo Woshipa 😄 🤣 😂
ochola..🦅⚠️ retweeted
Nalal lakini najua mshindi ni mmoja tuh Harry KANE 🎈🎆 – at Dar es Salaam, Tanzania
ochola..🦅⚠️ retweeted
🚨🗣️ 𝗡𝗘𝗪: Fabrizio Romano: "Lamine Yamal is going to win the KOPA trophy, in my opinion."
— DAZN
ochola..🦅⚠️ retweeted
#VIDEO Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenan Kihongosi amesema Serikali itagharamia mazishi ya Kijana Meshack Daudi Paka (21) ambaye amefariki kutokana na kupigwa risasi wakati Polisi wakiwatawanya Wananchi waliofanya maandamano huko Lamadi, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
“Leo tumekwenda kumtembelea Mzazi wa Mtoto ambaye amefariki, tumekutana na Baba wa Mzazi, tumekutana na Familia yake tumezungumza nao na tumekubaliana kwa amani na upendo kabisa na familia imeelewa baada ya kueleweshwa kila kitu, nimetoa maagizo kwamba Serikali ibebe gharama zote za msiba ule, pili Serikali itabeba gharama zote za wale Watu ambao wamejeruhiwa”
“Na mwisho wa siku tutaliachia Jeshi la Polisi kusimamia sheria kama inavyotaka ili wale waliohusika na uhalifu, uvunjifu wa amani kwa sababu kuna vifaa vimeibwa katika Ofisi ya Uhamiaji kuna computer na vitu vingine, na wale ambao wamedhuru Watu basi tuone kwa namna gani tunaweza kuchukua hatua” ——— RC Kihongosi.
#MillardAyoUPDATES
ochola..🦅⚠️ retweeted
Barcelona trio Raphinha, Lamine Yamal and Cubarsí have arrived for the Ballon d’Or
#ballondor
ochola..🦅⚠️ retweeted
🚨 BREAKING: Lamine Yamal becomes the first player in history to finish in the Ballon d’Or top 10 three times before turning 20. 🤯🇪🇸
ochola..🦅⚠️ retweeted
WENGINE ANAWAPA FRESHI Tu MBUSUSU NA KINYEO KAMA HIVI ILa ikifika zamu Yako Anataka UMUOE MAMAEE.✍️😂😂
NGOJA TUENDELEE KUMTOMBAA SISI HUKU 😂😂😂
ochola..🦅⚠️ retweeted
Itakuwaje kama huyo No 4 ndio akawa mshindi usiku huu? 😇 – at Dar es Salaam, Tanzania
Itakuwaje kama huyo No 4 ndio akawa mshindi usiku huu? 😇 – at Dar es Salaam, Tanzania
ochola..🦅⚠️ retweeted
🚨 OFFICIAL: The Ballon d’Or 2026 TOP 10 (in no particular order):
🇫🇷 Kylian Mbappé
🏴 Harry Kane
🇪🇸 Lamine Yamal
🇦🇷 Lionel Messi
🇪🇸 Rodri
🇬🇪 Khvicha Kvaratskhelia
🇫🇷 Michael Olise
🇫🇷 Ousmane Dembélé
🇳🇴 Erling Haaland
🇪🇸 Fabián Ruiz




























