Pinned Tweet
Kuna mama mmoja mtaani age Go 38+,simply she's from MAHABA yalipozaliwa.
mwaka 2018 mama huyu,kutokea mkoa X alifunga ndoa na jamaa wa kabila lake.
Miaka ilisogea wakiwa na familia Yenye AMani,furaha na upendo kwa 97%.
Mwaka 2020 Mungu,aliwabariki kupata mtoto mmoja wa kike.
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
๐น๐ฟ GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Suluhisho Jumuishi la Huduma za Ardhi, Mali na Ujenzi.
HUDUMA ZETU NI PAMOJA NA:
โ
Upimaji wa Ardhi na Uwekaji wa Mipaka ya Viwanja
โ
Usanifu wa Majengo na Uandaaji wa Ramani za Ujenzi
โ
Uandaaji wa BOQ na Makadirio ya Gharama za Ujenzi
โ
Ufuatiliaji wa Hati za Ardhi na Msaada wa Nyaraka za Umiliki
โ
Uthamini wa Ardhi na Mali
โ
Uandaaji na Ufuatiliaji wa Maombi ya Kubadili Matumizi ya Ardhi
โ
Huduma za Ujenzi na Uhandisi
โ
Huduma za Uuzaji wa Viwanja na Ushauri wa Uwekezaji wa Ardhi
Tunajumuisha utaalamu wa Upimaji wa Ardhi (Surveying), Usanifu wa Majengo (Architecture), Uthamini wa Mali (Valuation) na Uhandisi (Engineering) ili kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali chini ya kituo kimoja.
๐ Anuani: Dodoma, Barabara ya Tisa
๐ฒ Simu/WhatsApp: 0719 336 667 | 0763 782 274
โ
Instagram: @Geotraverse_group | @Geotraverse_builders
โ
X: @Geo_Traverse | @GeoConstructors
๐ Tovuti: geotraversegroup.com
Kwa huduma, maelezo zaidi au ushauri kuhusu mahitaji yako ya ardhi na ujenzi, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyo hapo juu.
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Suluhisho Moja kwa Mahitaji Yako ya Ardhi na Ujenzi.
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
Hii siku siwezi isahau kabisa. Sikuwa na silaha wala kizuizi chochote mwilini mwangu.
Ila nilitembea kila mtaa kujaribu kutoa first aid kwa waliopatwa na changamoto. Na kuwapa moyo waliokuwa wanatutoka.๐
Ilikuwa siku nzito. Wapumzike kwa Amani wote tuliowapoteza 29/10. ๐๐ฝ โ at Kenya
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
Itachukua miaka mingi sana kunishawishi au kunifanya nitamani kuchanga pesa yangu kwenda kula kisinia inasound kama utoto fulani
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
Watu waliotokea kwenye kaya masikini hua wanaona kuondoka kwa wazazi ni kufanikiwa kimaisha.
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
Hanscana anasema kudate na wanawake ambao wako na pesa ina raha yake sana kwa kuwa kuombwa sana hela inakuwa sio sana ila kasema madhara yake ni siku ambayo atapata emergency anakwambia emergency zao unaweza hisi unaombwa mtaji ndio ile anaomba laki tisa aongezee kwenye kutengenezea nywele๐๐พ๐๐
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
X mabrother men na wafanya biashara napata wapi hizo Sendo hapo nataka niende ukweni nimeitwa.
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
Ana,sababu ikiwa ni kuridhishwa vyema na dogo anaetokea pembeni.
wanangu usipende kama hupewi-airtime,ondoka bila Honi.
Maisha ya mwanaume ni mafupi sana,kwa kuwa na mwanamke "ASIE JITAMBUA".
Epuka sana ili uishi maisha marefu epukana na sehemu usizopewa nafasi.
what a fuck๐ฎ
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
Sema mapenzi ni UTAPELI 97% YES wazee.
Kijana anajitafuta zake fresh Tu,then anatokea dada mmoja safi,dogo anajimilikisha.
Hapo kila huduma anazingatia Yeye,halafu anatokea boya mmoja analomba manzi ya kijana huyu.
Baada ya miezi kadhaa msichana ataandika barua/meseji ya kuach
Sema mapenzi ni UTAPELI 97% YES wazee.
Kijana anajitafuta zake fresh Tu,then anatokea dada mmoja safi,dogo anajimilikisha.
Hapo kila huduma anazingatia Yeye,halafu anatokea boya mmoja analomba manzi ya kijana huyu.
Baada ya miezi kadhaa msichana ataandika barua/meseji ya kuach
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
#TajiriLaKihaya
Ni kweli, Mwakimi amewahi kunitafuta DM mara Nyingi saana zaidi ya Mara 100+, toka Mar,2024.
Tumechat saana na kusaidiana katika mambo mbalimbali zaidi ya mara 20. Though hatujawahi kukutana wala kuonana!
Hata hivyo, kuhusu kinachoendelea sasa, sina sababu ya kutoa hukumu wala kushangazwa na chochote. Kwangu mimi, kutoa msaada ni suala la nia na moyo wa mtu.
Hata kama mtu alikuwa anadanganya au hakusema ukweli wote, hilo halibadilishi ukweli kwamba wakati ule kulikuwa na nia ya kusaidia.
Mimi naamini Mungu humlipa kila mtu kwa nia yake na kile kilichokuwa moyoni mwake wakati akifanya jambo fulani. Wakati mwingine tunafanya mema kwa watu ambao huenda hawakuwa waaminifu kwetu, lakini hilo lisitufanye tujute kwa wema tulioufanya.
Maisha yana mengi ya kujifunza. Si kila mtu tunayemsaidia atakuwa vile tulivyomtarajia, na si kila jambo linalotokea linahitaji hasira, majuto au kelele za mitandaoni.
Mimi nalichukulia hili kama sehemu ya maisha. Sina cha kushangaa wala cha kuhuzunika.
Nia njema haipotezi thamani yake kwa sababu ya matokeo yasiyotarajiwa.
Brain_Pro360๐ฃ retweeted
Unachukua simu ya mpenzi wako unakuta kaweka picha yako kwa screen unamwambia "Babe nitajie Password" anakuambia andika jina lako. Oya nyie..๐โบ๏ธ




























