Pinned Tweet
Ipo siku Mungu atakupa watu wameambiwa kila kitu kuhusu wewe lakini hawatakuacha na watakukubali na kukupenda na kukupokea jinsi ulivyo.
Usiogope, Usiwe mnyonge..JIAMINI๐
The G- โ๏ธ retweeted
Halafu kuna KUMA zilitamka wazi kuwa vijana walilipwa kuandamana,.. Kumamako zenu . ๐๐ฎ
The G- โ๏ธ retweeted
Siku ntakayopata hiyo confidence kama ya mwakimi kuomba hela starnger ambae sijawahi ata kuwa na convo nae before, basi natajirika apo apo๐๐
Yule jamaa anajua kazi yake aisee!!
The G- โ๏ธ retweeted
Wazee ile Shazam haikuwaga AI kweli๐๐
Kabla ya ujio wa chatgpt, Shazam ilikuwa ukiplay wimbo inakutajia msanii wake na jina la huo wimbo.
Najiuliza ilikuwa inatumia mechanism gani kama sio AI????
The G- โ๏ธ retweeted
Sema machoko wana audacity kuwazidi hata mademu.
Mtu anapata wapi ujasiri wa kumshika mwanaume mwenzie Mjulubeng hadharani ๐.
The G- โ๏ธ retweeted
Wanangu K/koo vitu vimeshuka bei au ni mimi nilikuwa sijatembelea muda mrefu?? Leo nimedaka bidhaa kadha bei yake yakistaarabu hadi nimeshangaa.
The G- โ๏ธ retweeted
Kuna jamaa nilisoma naye kwa bahati mbaya mimi nikafeli mtihani yeye akaendelea kidato mpaka chuo kikuu na kufanikiwa kupata kazi NGO
Kuna siku nilimcheck anipige kick 10k kwasababu siku hiyo nilikuwa sina mchongo kweli alinipa ila akasema mwanangu ungefauli hizi aibu usingepata
The G- โ๏ธ retweeted
Ooh wajomba mna Tamaa mna bet odds kubwa haya hapa mwamba kabisa ana odds 1.03 jeshi kabisa yaani jeshi kweli kweli lipo Home na linacheza na kibonde ile mbaya na Jeshi limeshindwa kutoa hata goli Moja ๐๐๐
Wanangu hii kazi ngumu sana Qmamaae ๐๐๐
The G- โ๏ธ retweeted
Ukitoa wazazi wangu mke wangu atafaidi sana nitamtunza kwa hali na mali furaha yake ndio itakua furaha yangu.
The G- โ๏ธ retweeted
Hakuna Kiongozi mwandamizi wa Gavoo aliyetoa POLE wala kuomboleza kwa namna yoyote kuhusu tukio la October 29 pamoja na Tume ku-suggest kuwe na kumbukizi.
Sema fresh wakubwa ๐ฏ๏ธ๐ฏ๏ธ๐ฏ๏ธ๐
The G- โ๏ธ retweeted
Si kila mtu unayekutana naye anapaswa kuwa mwaminifu kwako.
Baadhi ya watu huja kama ukumbusho wa kuzingatia aina ya watu unaoshirikiana nao.
The G- โ๏ธ retweeted
X imekua ya kisenge ma videos mengi kama ig๐ฎ โ at Dar es Salaam, Tanzania
The G- โ๏ธ retweeted
Ifike mahala huyu mzee aambiwe ukweli umri wake hauendani na usela wa kuvaa namna hii.
The G- โ๏ธ retweeted
Zile nyimbo huimbwa hapa kama uko na mtoto mdogo unaweza kumziba masikio.
NB:Sema ndio husaidiaga morali ya kazi kwenda spidi๐๐๐พ




























