Edwin F.M (@EdwinMjeru) header
Edwin F.M (@EdwinMjeru) profile picture

MSCA Research Fellow | EM Alumni 🇹🇿🇫🇷| Author| Business & Data Storytelling Coach| Learning & sharing lessons on Mind-Philosophy-Success & Failures.

Tanzania
Joined September 2020
Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)Photo by Edwin F.M (@EdwinMjeru)
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
We need strength, courage, and wisdom!
1
1
1
15
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Doubt has killed more dreams than failure.
1
1
24
Edwin F.M retweeted
Natamani ifike sehemu tujifunze kuheshimu mtazamo wa kila mtu. As long as unakunufaisha na una function kwa upande wako Unachokielewa wewe haimaanishi nawengine wanakielewa na kukiona kama unavyokiona wewe.
Huu mjadala wa Uwekezaji Vs Biashara ilikuwa wa moto sana. Vijana kidogo wamkasirishe Broo hapa🙌.
2
4
10
699
Replying to @EdwinMjeru
Vijana wana hoja
1
1
1
230
Mwanangu uelekeo ni huu—kufanya greatness tupu bila kujali mood ama namna gani vipi.
1
2
3
42
Edwin F.M retweeted
Mpaka sasa Nimepitia zote 1.Nasuka jambo naliandaa ila sifanyi 2.Naanza naishia kati naganda 3.Naanza chapu kwa haraka nakosea nalamba Glucose narudi tena ulingoni mpaka matokeo yanatokea Ndo maana napenda msemo ANZA SASA Mnalakusema @EdwinMjeru @miracleboytz @MkulimaKante
2
5
8
171
Replying to @EdwinMjeru
Hii chuma isipite kwetu Buguruni Tafadhali
1
1
1
138
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Hii haipingiki kabisa nimeshawahi kuishuhudia.
1
1
44
Edwin F.M retweeted
Shule inakujengea msingi. Kunyanyua kuta na kufanya finishing ni juu yako.
Shule inakupa maarifa na ufahamu juu ya mambo. Industry inataka uwezo na ujuzi wa kutumia maarifa ili kuleta matokeo.
1
1
6
240
Replying to @EdwinMjeru
Nadharia + Vetendo/Uhalisia
1
1
34
Kuwa unique sio lazima uvumbue kitu kipya. Wakati mwingine ni kuangalia tatizo la zamani kwa mtazamo mpya. Here’s my POV: 🧶👇🏾
1
5
16
459
Vipaumbele na umakini. Huwezi kununua maelfu ya Mavii 8 na wakati huohuo kuboresha elimu
2
3
67
Replying to @EdwinMjeru
kwenye hilo battle wanatafutwa wajinga wajae kwenye mfumo wapigwe
1
2
23
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
CFEs watapoteza mapema sana, hao wengine ni wapambanaji mstari wa mbele na wanajua hali ilivyo na picha halisi
1
1
1
42
Hawa ni wajamaa wenzetu kabisa? Socialists? Communists? Au kuna namna 😕 😞 @EdwinMjeru @bwaya @Udadisi @MabalaMakengeza @SwahiliBible @mmwambanga @MarkMwandosya @AnnaTibaijuka
✨🇨🇳A school in Chongqing built its sports field on the rooftop.
1
1
2
155
Replying to @EdwinMjeru
Kila mtu anatetea ulaji kwa kuwapiga wenzake kuwafundisha jinsi ya kutengeneza pesa
1
1
3
154
Replying to @EdwinMjeru
Wengi siyo wafanyabiashara. Ni matapeli, wanaotafuta wafuasi wa kuwapiga. Ukoshaona mtu anapinga mfumo mmoja au anaonesha kuwa anachofanya kinahitaji elements za uahujaa kwa umma ujue ni utapeli. Na kwakuwa hesabu ni janga watu wanatafuta na kutapeliwa kwa kutafuniwa kila kitu.
1
1
3
54
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Tena sio moto mdogo ni moto haswa 😂😂😂
1
2
110
Edwin F.M retweeted
Jukwaa bora la vijana #ElimikaWikiendi Jumamosi hii linarindima, ni fursa kwako kulitumia kutoa elimu, ujuzi na maarifa kubwa zaidi kutakuwa na mjadala mbashara.
8
13
172
Replying to @EdwinMjeru
You can just do things
1
1
1
39