MichaelMwebe (@MichaelMwebe) header
MichaelMwebe (@MichaelMwebe) profile picture

Faith || Family || Football ||

🇹🇿 🇺🇬 🇰🇪 🇿🇦
Joined January 2013
Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)Photo by MichaelMwebe (@MichaelMwebe)
The pre-match montages of Tanzanian cityscapes are a fantastic addition to the AzamTV Ligi Kuu broadcast.
15
59
8
496
39,387
MichaelMwebe retweeted
"Ulishitakiwa kwa kosa la kunywa pombe wakati wa kazi, ila tumekuta hauna hatia.. lakini acha tuangalie kwanini haukuwa kazini, wewe ni mzururaji."
61
204
6
1,065
20,383
Uamuzi wowote wa leo utazidi kuligawa taifa kwa sababu upande mmoja hauwezi kushinda hii kesi kupitia LEGAL SETTLEMENT na upande mwingine hauwezi kushinda hii kesi kupitia POLITICAL SETTLEMENT.
Leo nchi inaweza kupumua kama busara ikitumika.
13
37
4
309
20,274
Members of Parliament after an election.
553
5,862
367
23,237
747,876
Ligi Kuu Bara haishindani na EPL. Anachofanya DSTV/CANAL ni kulinda mgongo wake maana kilichobaki ni haki za kuonesha EPL kwa lugha ya Kiswahili. Anafunga huu mlango licha ya ukweli kuwa wabongo wachache sana wanatazama EPL kwa lugha ya Kiswahili.
Huku ligi kuu bara kwa 28k huku EPL kwa 25k kupanga ni kuchagua.
1
6
68
3,170
Tetemeko la ardhi Mwanza...wasio wenyeji wa Kanda ya Ziwa wameshtuka sana.
10
15
3
222
11,566
Kabla sijavuta jiko ilikua namna pekee ya kupunguza nguo zilizochoka ndani ni naivaa naenda dukani nanunua mpya ile ya zamani naiacha hapo, inakua kama tragedy of the common, saivi utoke na tshrt ya blue urudi na nyeusi usiku itabidi uende na record ya cctv
53
35
11
387
30,461
Replying to @MichaelMwebe
That is VERY TRUE, we've experienced this ourselves, and we found a "Tawi la Yanga" and a "Tawi la Simba" in every Tanzanian town / City we've been to Here's what you find when you enter Tanzania 🇹🇿 from the Zambia 🇿🇲 side [Nakonde/Tunduma border]
3
8
603
Gari za Kenya zimevamia Mwanza. Harusi ya mtoto wa Ruto inaweza kufunga mji hii wikiendi.
8
10
1
266
12,883
MichaelMwebe retweeted
Kifupi kwenye Msiba Wajukuu uwa wana ng'ombe yao, na mtu asisogee. Na masufuria yao ya wali 😀
Usukumani, wajukuu wa marehemu wanadai bila kupewa ng'ombe hawafanyi kazi kwenye msiba wa bibi yao. Haya mambo ya mila na tamaduni usije ukapandisha sukari.
2
5
39
2,151
Usukumani, wajukuu wa marehemu wanadai bila kupewa ng'ombe hawafanyi kazi kwenye msiba wa bibi yao. Haya mambo ya mila na tamaduni usije ukapandisha sukari.
8
2
3
63
5,136
Travel to the most remote corners of Tanzania, and you'll still find Simba and Yanga branches.
6
8
1
187
6,397
The best thing about night matches at Isamuhyo Stadium is the soothing sea breeze.
1
1
56
1,478
Watu hamuwezi hata kuvuka kwenda Zenji kucheki game mtawavutia vipi watalii waje kucheki gake zenu? Inabidi kwanza raia muwe na huo uwezo ili foreigner apate hamasa ya experience. Ukiweka kiingilio 20k watu hawaji uwanjani. 😂
1
1
2
204
Hizo ndio nchi zinazoleta shekeli za utalii. Unaona hawa wana muda wa kukaa kutazama AFCON?
Tukubali kwamba Tz tumeshindwa -Serengeti inatajwa kama national park inayotembelewa sana -kwa mjibu wa utalii wa UN, TZ inashika nafasi ya 11 kidunia, ya 6 kwa afrika na mashariki ya kati kwa ukuaji kwa utalii kimataifa. -Afcon 2023(1.4B) & 2025(3.45b)
6
3
1
33
4,898
Mechi ya saa 12 jioni lakini ili uiwahi inabidi utoke nyumbani saa nane. Miundombinu ni moja ya sababu kubwa za mashabiki kutojaa viwanjani Afrika. Hatuna miundombinu inayomrahishia shabiki wa kawaida kwenda uwanjani mara kwa mara.
4
6
3
127
5,517
Mashindano makubwa yanategemea kipato cha wenyeji. Wageni/watalii ni ziada. Sio ishu ya marketing, ni pato la mwananchi. Pili, utalii wetu ni 'bush safari' sio mtalii aje kula bata Arusha, Dar, Nairobi au Kampala.
Replying to @MichaelMwebe
Ni muhimu kuwa na maoni zaidi kuliko whats casual. Cause truly marketing inaweza badili AFCON ikawa holiday festival kubwa tu ya non Africans
5
2
16
1,348
AFCON inatazamwa zaidi na Waafrika, ambao 'hawana pesa za kutalii'. Kumwaga pesa nyingi kutangaza utalii sidhani kama ina athari chanya kubwa. Morocco walipata watu wengi waliokuja AFCON kwa sababu ya UKARIBU na Ulaya na pia watu wao wanaoishi Ulaya na Uarabuni ni wengi, gharama za usafiri ni ndogo, muda unaotumia angani pia ni mdogo. Afrika Mashariki tuna aina yetu ya watalii. Na idadi sio kubwa. Ngumu mno kwa Tanzania, Kenya na Uganda kupata watalii wengi kupitia AFCON. Wageni wengi watakaokuja kwa ajili ya AFCON ni waandishi, viongozi wa timu na ndugu wa karibu wa wachezaji. Hawa namba yao ni ya kawaida. Ndio maana AFCON viwanja vinakuwa tupu.
Uganda wametupiga bao moja kubwa sana hapa !!!
21
14
8
136
14,551
MichaelMwebe retweeted
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania. Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea). Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
97
360
44
1,139
85,797
MichaelMwebe retweeted
Shuka la MSD
Ukipoteza fahamu kisha ukazinduka baada ya siku tatu; utatumia kigezo gani kujua umezinduka ukiwa nchi ya Afrika?
1
4
28
1,768
Tanzania re October 29.
One day, when it's safe, when there's no personal downside to calling a thing what it is, when it's too late to hold anyone accountable, everyone will have always been against this.
18
1,692