Joined August 2022
mobappdev retweeted
Roma Locuta; Causa Finita est.!
8
105
448
9,965
mobappdev retweeted
🚨 US Secretary of War: “Our enemy is the Islamic religion, whether Sunni or Shiite.” I think this includes Saudi and Gulf Islam!!!
98
203
25
391
22,758
mobappdev retweeted
Masisiemu yakiwa na jambo lao yanafosi kingi sana. Huyu FREDI tangu lini alikuwa msaidizi wa LISSU? Na Djumbe atakuwa nani? Huyu si ndio aliiba hela za LISSU mpaka familia wakaamua kumkamata? Huo usaidizi wa LISSU umeanza lini? Changamoto kubwa iliyopo CHADEMA, tulifanikiwa kumuondoa MBOO WE ila kuna TAKATAKA zake nyingi sana kila kona ya nchi. Uchaguzi ujao tutasafisha UPUMBAVU wote wa MBOO WE lazima tusimamishe watu tunaoongea nao lugha moja. Unalazimisha CHAMA kiongee na masisiemu kiongee nini? Masharti ya CHAMA kuzungumza huyu hajayasikia? Unauza uoga kwa watu ambao tupo IMARA kuendelea na mapambano kwa manufaa ya MASISIEMU. TAKATAKA KABISA🚮
38
69
2
470
21,161
mobappdev retweeted
MAZUNGUMZO! Rev Peter Simon Msigwa 27/10/26 Kwa nini mtu anayejiona kuwa mhanga wa mfumo fulani anaweza kufikia hatua ya kuamini kwamba yeye ndiye anayepaswa kuomba msamaha, kujishusha na kupiga magoti mbele ya mfumo anaoulalamikia? Hili si swali dogo. Ni swali linalohusu saikolojia ya ukandamizaji, hofu na namna watu wanavyoweza kuzoea mazingira ya kunyimwa haki kiasi cha kuanza kuona haki zao kama hisani ya wenye mamlaka. Ninawasikia baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakisema kwamba chama kinapaswa kujishusha mbele ya watawala ili kuwe na maridhiano. Nina swali moja: Kujishusha kwa sababu gani? Kuomba msamaha kwa kosa gani? Na kuomba huruma ili tupewe haki gani ambayo Katiba haijatambua? Kuna tofauti kubwa kati ya kauli hizi mbili: “Tuzungumze ili kutatua mgogoro.” Na “Tujishushe ili wenye mamlaka watuhurumie.” Ya kwanza ni njia ya kutafuta suluhu yenye kuheshimiana. Ya pili inaweza ni dalili ya watu kuanza kukubali kwamba haki zao zinategemea utashi wa wenye mamlaka. Katika saikolojia kuna dhana inayoitwa Learned Helplessness, hali ambayo mtu aliyekabiliwa na vikwazo kwa muda mrefu anaweza kuanza kuamini kwamba hana uwezo wa kubadili mazingira yake. Badala ya kuhoji anayemnyima haki, anaanza kujihoji mwenyewe. Badala ya kudai sheria iheshimiwe, anaanza kutafuta namna ya kumfurahisha mwenye mamlaka. Wengine wanaweza kulinganisha hali hii na Stockholm Syndrome, ingawa hiyo ni tashbihi tu, si utambuzi wa kitabibu kwa watu wenye maoni tofauti ya kisiasa. Lakini tusichanganye mambo. Mazungumzo si udhaifu. Maridhiano si usaliti. Na msimamo thabiti si uadui dhidi ya amani. Swali ni: Tunafanya mazungumzo juu ya msingi gani? Je, tunataka haki za kikatiba zitekelezwe, au tunataka kupewa ruhusa ya kuzifurahia? Je, tunataka sheria itawale, au tunataka huruma ya watawala ichukue nafasi ya sheria? Je, tunataka maridhiano yanayoshughulikia chanzo cha mgogoro, au maridhiano yanayofunika dalili zake na kuacha chanzo kilekile? Haki inayotegemea huruma ya mwenye mamlaka si haki iliyohakikishwa. Ni fadhila inayoweza kuondolewa wakati wowote. Ndiyo maana ninawauliza wenzangu wanaotaka CHADEMA iombe maridhiano: Je, mnataka mazungumzo yatakayohakikisha haki zinalindwa, au mnataka chama kikubali masharti ya watawala ili tu kiweze kufanya siasa? Hatuwezi kujenga taifa la haki ikiwa kila anayelalamikia kunyimwa haki anaambiwa yeye ndiye mwenye wajibu wa kujishusha kwanza. Wajibu wa serikali si kusubiri wananchi waombe huruma. Wajibu wake ni kuheshimu Katiba, kutekeleza sheria kwa usawa na kulinda haki za wote, wakiwemo wanaoikosoa. Tunaweza kukaa mezani bila kupiga magoti. Tunaweza kutafuta amani bila kuuza haki. Tunaweza kukubali mazungumzo bila kukubali kwamba aliyenyimwa haki ndiye mwenye hatia. Maridhiano ya kweli hayapimwi kwa kiwango ambacho upande mmoja umejishusha, bali kwa kiwango ambacho pande zinazohusika zimekubaliana kurejesha haki, kujenga uaminifu na kuzuia makosa yasijirudie. Tusifundishe kizazi chetu kwamba ili upate haki lazima kwanza umpendeze anayeshikilia mamlaka. Tuwafundishe kwamba mamlaka yenyewe yanapaswa kutii Katiba. HATUHITAJI HURUMA ILI TUWE NA HAKI. TUNAHITAJI KATIBA NA SHERIA ZIHESHIMIWE.
22
68
4
259
9,894
Heche amtaka Ruto kusaidia kupatikana kwa Twaha Mwaipaya bbc.in/3VXD0rh
49
252
6,627
28
117
2
702
20,718
mobappdev retweeted
Oh kumbe ni @godbless_lema ndiye aliyemshauri @John_Pambalu arudi Tanzania kwamba ameshaongea na Mafwele msaidizi wa Wauwaji wa ccm kwamba Pambalu atakuwa salama! Ahsante galfriend @MariaSTsehai kwa ufafanuzi huu. Unajua mambo kama haya sio ya kuficha ficha, ni kutaja hadharani
13
40
1
156
4,727
mobappdev retweeted
Daah alivo ikunjia kwenye uniform kama sio yeye 😂😂😂😂
69
42
4
438
39,894
Uliyemshauri Pambalu alirudi Bongo, ukampa hakikisho la usalama wake kwamba uliongea na Mafwele, akakwambia arudi tu hawana tatizo nae, naomba utambue kwamba umetusababishia matatizo makubwa sana. Kila siku huwa nawakumbusha wapambanaji wenzangu kwamba ogopa sana mtu ambae anaaccess na wewe lakini pia anaaccess na watu ambao daily wanawinda roho zetu. Maana unatakiwa ujiulize inawezakanaje mtu ambae anajipambanua kuwa ni mpigania Haki halafu wakati huo huo kwa mdomo wake anasema Mafwele ni rafiki yake? Unawezaje kuwa na urafiki na mtu ambae Dunia yote inajua kuwa anateka na kupoteza watu na wengine huwa anawabaka na kuwafila, inawezekanaje…??? #FreeTwahaMwaipaya💔
88
200
15
1,054
100,079
mobappdev retweeted
Ila TAL alijua kusafisha watu.. Imagine haya makasha yalikuwa CC ya CHADEMA 😂😂😂😂
33
44
4
263
15,905
Dunia nzima habari ambayo inatrend ni tukio la kutekwa Twaha Mwaipaya. Tuendelee kupaza sauti #FreeTwahaMwaipaya
8
217
3
750
13,001
🔥🚨LATEST: A Cleveland pastor is going viral after standing in front of her congregation Sunday and introduced her husband's second wife, calling the woman her 'sister in marriage', and the new wife was already a minister at their church.
859
467
239
1,807
319,255
mobappdev retweeted
An activist from Tanzania 🇹🇿 @Twaha_Mwaipaya has been abducted today October 25, 2026 in Nairobi, Kenya. #FreeTwahaMwaipaya @WilliamsRuto @NPSOfficial_KE @AmnestyEARO @thekhrc @OHCHR_ESARO @citizentvkenya
11
158
8
276
5,591
mobappdev retweeted
Replying to @WilliamsRuto
Please make sure Tanzanian activits @Twaha_Mwaipaya is Free 🙏🙏🙏 our country kenya should not be used as human abduction centre
1
2
117
mobappdev retweeted
#FreeTwahaMwaipaya @WilliamsRuto @SuluhuSamia Your actions are against @jumuiya treaty, African charter on Human and peoples Rights @achpr_cadhp @AUC_PAPS @ymahmoudali @UNHumanRights @antonioguterres
Tanzanian opposition figure Twaha Mwaipaya abducted in Kamulu, Machakos, Amnesty International says as rights group warn of cross-border repression.
30
524
6
1,144
17,807
Tanzanian opposition figure Twaha Mwaipaya abducted in Kamulu, Machakos, Amnesty International says as rights group warn of cross-border repression.
34
759
45
1,321
53,307
Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop. He was travelling by taxi to visit friends. Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety. Please share widely. #FreeTwahaMwaipaya
62
817
41
1,483
130,921
mobappdev retweeted
Mkuu wa gereza kwenye maswali ya dodoso, alisema wazi mbele ya Jaji kwamba hata mahakama ikiamua yeye hataruhusu watu wala mawakili kumuona Lissu. Leo mahakama imeamua mawakili wamuone Mwenyekiti kwa faragha na waongee naw yeye amezuia, anatimiza alichoahidi wakati wa kesi. Kwahiyo mahakama ni kupoteza mda tu. Mnataka nani afuate amri za mahakama kama nyie mnazivunja.
40
304
5
1,287
32,914
Wewe ni mtu mwema sana, namuomba Mungu aonae sirini akutete na kukupigania katikati ya watesi wako.🙏 #FreeTwahaMwaipaya
12
206
5
811
10,819
natumai kokote aliko twaha mwaipaya yuko salama. pole kwa familia, na ndugu na jamaa wote, wanaoingia kwenye kipindi kigumu. natumai hakitadumu, na twaha atapatikana. tuendelee kutahadharisha kwamba kuwinda wakosoaji, hata nje ya nchi, hakulinufaishi hili taifa. inaliangamiza!
9
113
3
462
5,912