Erasto Lashau retweeted
Ukitaka kujua mtu kakataliwa na Mungu kila anachofanya kinagoma,kila mpango unaopangwa na yeye unashindwa.
Erasto Lashau retweeted
Ukiongea na Bodaboda wenye miaka 35 na kuendelea kuhusu mustakabali wa badae; unajifunza kitu. Mosi, wamejikongoja kupeleka watoto shule za “private”; wakiwa na ndoto watoto wao na wasije kuwa “bodaboda kama mimi”. Pili, wana hofu kuhusu Usalama wa kazi yenyewe, hivyo hawaendeshi “hovyo” kama Gen-Z. Lakini, wanawaza Kustaafu tayari; kwa maana wamejipanga kubadili kazi; au kuajiri vijana wenzao. Aidha, baadhi wanaanza kuona umuhimu wa “kuacha pombe” na “usela”! Ni hadithi ya umri na mabadiliko ya tabia pamoja na umuhimu wa kuwa na ndoto zinazotekelezeka.
Erasto Lashau retweeted
Omba msaada, kubali ushauri, jifunze kutoka kwa wengine…. lakini usikabidhi ndoto zako kwa mtu mwingine.
Erasto Lashau retweeted
Wanasema Dunia ina reward wanaofuata sheria za Mungu na za wanadamu, lakini mara nyingi ina reward zaidi watukutu, wale wanaothubutu kuhoji kanuni zilizopo, kupinga mazoea na kuvuka mipaka ya fikra za kawaida.
Erasto Lashau retweeted
Kimaandiko ya Mungu zaidi mwanamke yeyote ukiona sio bikira huyo ni mke wa mtu sio wako..👽😎
Erasto Lashau retweeted
Na Swali la wazi kwa wadada
Mwanaume amevaa jeans kali na kiatu hivi, safi vya ngozi...
Je, anaonekana kijana au father.
Erasto Lashau retweeted
Watu wengine wa kuwaogopa kama ukoma ni hawa wanapost kila siku "We're open" na hawamiliki biashara yeyote ya kuonekana .
Erasto Lashau retweeted
Ukweli kwamba hujawahi kuona jambo likifanyika, haumaanishi kua haliwezekani kufanyika ✍️ .
Erasto Lashau retweeted
Jana usiku Nili jaribu kugonga hodi kabla ya kuingia si nika mwaga mlangoni hapo hapo Aise mnafanyaje fanyaje mnagonga hodi na mnaingia ndani 😆😆
Erasto Lashau retweeted
Siku ya Leo nimeumia mno 💔mtu unapambana then mtu anakuja anakutapeli kirahisi tu na kusema miamala haioni nimerudia mara 4 kulipa tena 10x 4 still mtu hataki kutazama hata screenshots za malipo nimepiga Hadi tigo lakini pesa zote zimefika , ... nisaidie nareport aje lipa no
Erasto Lashau retweeted
Uncle zangu
"Ogapa Sana Kumwambia Mtu Yoyote "Huna Cha Kunifanya" Hatakama Hoyu Mtu Hana Cha Kukufanya Kweli.




























