SAMALEN TV  (@Samalentv) header
SAMALEN TV  (@Samalentv) profile picture

💻 Tech Expert | 🎙️ Content Creator | 🎧 Podcaster | 🎨 Designer | ⚽ Sports | 🎮 Gamer | 🏆 Forbes-Recognized | Temporary Secretary of @Samalentips

SAMALEN TV
Joined August 2021
Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)
Mungu Asante kumbe haitakiwi wala hairuhusiwi kuwarekodi TISS na ku share leo nilipata picha zao na videos nyingi ila afadhali huwa napenda kuuliza na kufuatilia kumbe kuna act ya usalama wa taifa inakataza na unaweza kwenda jela muda mrefu sana du ngoja nikazifute tu 😳
8
3
2
57
7,831
SAMALEN TV  retweeted
Them : Sam unavaa vibaya Me : Because im not poor!!! 😅
1
3
655
SAMALEN TV  retweeted
I pay in dollars 🔥
1
3
586
Hongera kwa Mheshimiwa Milton Dick kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). 🇹🇿 Ni heshima kubwa kukutana nawe katika Mkutano wa 153 wa IPU Nakutakia kila la heri katika majukumu yako mapya ya kuimarisha demokrasia, nk @IPUparliament @MiltonDickMP
6
2
4
24
14,454
1
3
650
Da tairi yetu ime bust
1
2
713
When someone doesn't like you, they eventually team up with someone else who feels the same. And before long, there's an entire group talking behind your back. But here's the truth. People who gossip about you or hate you don't even enjoy each other's company.
1
2
765
IPU is Over , Asanteni Dunia kwa kuungana nasi na niwapongeze wananchi kwa kufanikisha hili pia kwa kutupa nafasi ya kutekeleza majukumu yetu bila changamoto , vile vile Tunavishukuru Vyombo vyetu vya usalama kwa kuimarisha ulinzi wa hali ya juu sana mkoa mzima 🤝
5
2
12
2,243
Nilipata wasaa wa kuongea na Mwanasheria na Advisor wa Mbunge kutokea Nchi ya Laos 🇱🇦 , Tuliongea mengi sana na baadhi ya dondoo nilishawishiwa kuziweka hewani ila wenzangu walikwama kidogo kwenye upande wa mic hivyo sauti ikawa imepotea, anyway Inasikika kwa mbali sikiliza ,,
9
1
15
3,449
SAMALEN TV  retweeted
Anko wangu alinitembelea kidogo tukazungumza mambo mengi sana , Sijutii kuwa na anko kama yeye ✌️🙌
28
8
7
106
16,998
SAMALEN TV  retweeted
Naomba Tu VOTE HAPA Jisikie huru JE UNAMKUBALI SAMALEN HATA UKISHAWISHIWA KUMCHUKIA ??
86%SIMKUBALI HATA KIDOGO
14%NAMKUBALI SANA HATA IWEJE
42 votes • Final results
1
3
4
1,492
SAMALEN TV  retweeted
Baada ya Miezi 3 Nimerejea huku Twitter(X) Baada ya kupost video flani tarehe 6 June 2026 nikizungumza na kuwakumbusha watu tusitengeneze chuki zisizo na sababu kwenye mitandao. Baadhi ya watu walianza kuni attack na kunishambulia SOMA UZI 🧵
30
6
21
29
23,760
KUMBE KUNA WATU WANAMILIKI VISIWA HUKU TANZANIA?? Leo nilikuwa na scroll tiktok nikakutana na jambo la ajabu sana katikati ya hii video huyu jamaa ametamka kitu ambacho kimeniacha na maswali mengi sana hivi kumbe wazungu wanamiliki visiwa vyetu ??? Mh mbona kama hii ni hatari sana sasa 😭😭
1
7
2
20
5,615
SAMALEN TV  retweeted
Sativa wewe unawadanganya watoto wa Kitanzania wafanye vurugu na wakati wewe umejificha kenya?? Umejificha kwenye kivuli cha uzalendo na wakati wewe ni Mhaini!! Hadi sasa umeisaliti nchi yako kwa kuhamasisha vurugu na kujitoa mhanga na watoto wa kimaskini wenye ndoto zao ambazo zinahitaji sapoti na sio kuvunjwa moyo , Kazi unayoifanya sio sahihi na hata mbinguni haina nafasi Acha kuwadanganya vijana,nakuangaliaga tu siku zote unavyowalisha vijana wenzako sumu kwa sababu unaona kama huna la kupoteza, kumbuka kuwa bado haupo marekani upo nchi za Africa ambazo muda na siku yoyote utapatikana ni kwamba bado haujaamuliwa tu kuja kuchukuliwa ila amini nakwambia wazito wakiamua kuja kukuchukua hapo watakuja na hautakuwa na pakwenda !! Kuwa mwanaharakati sio kuchochea vurugu na kuvunja heshima vyombo na utawala , ni kukosoa vitu sahihi kwa lugha sahihi bila kuvunja heshima ya viongozi, wala kubeza utu wao, JITAFAKARI ACHA KUCHEZA NA MAISHA YA VIJANA WEWE SIO MSEMAJI WA VIJANA NA WALA WEWE SIO KIONGOZI na wewe sio MWANAHARAKATI wewe ni mchochezi na content creator !!!
unavailable
79
7
13
71
41,851
SAMALEN TV  retweeted
Nimeuliza ChatGpt kuwa Je ni sahihi nchi yenye utawala wa katiba na sheria mtu binafsi kuanzisha kikosi chake cha kupambana na kitu chochote ?? Imejibu Kwa ujumla, hapana. Katika nchi inayotawaliwa kwa misingi ya katiba na utawala wa sheria, si sahihi kwa mtu binafsi kuanzisha kikosi chake cha kupambana na uhalifu, ugaidi, au jambo lingine kinachofanya kazi kama chombo cha usalama bila mamlaka ya kisheria. Sababu ni pamoja na: Matumizi ya nguvu yanapaswa kuwa chini ya mamlaka ya serikali na sheria ili kuwe na uwajibikaji. Vikosi binafsi vinaweza kusababisha ukiukaji wa haki za binadamu, matumizi mabaya ya nguvu, au migogoro. Katiba na sheria kwa kawaida huweka wazi ni taasisi zipi zenye mamlaka ya kutekeleza sheria, kama polisi na vyombo vingine vya usalama. Hata hivyo, kuna tofauti muhimu: Mtu anaweza kuanzisha kampuni ya ulinzi binafsi ikiwa sheria za nchi zinaruhusu na amepata leseni zinazohitajika. Kampuni hizo hufanya kazi ndani ya mipaka ya sheria na hazichukui nafasi ya polisi au jeshi. Pia, jamii zinaweza kuwa na programu za ulinzi shirikishi au vikundi vya usalama wa jamii vinavyofanya kazi kwa ushirikiano na polisi na chini ya mfumo wa sheria. Kwa hiyo, kuanzisha kikosi binafsi kinachotekeleza sheria au kupambana na watu kwa mamlaka yake yenyewe si jambo linaloendana na misingi ya utawala wa sheria. Ikiwa kuna tishio au tatizo la usalama, njia inayotarajiwa ni kushirikiana na vyombo vya dola vinavyotambuliwa na sheria.
Mwaipopo anamiliki wagambo halafu watu mpo kimya tu
6
7
2
29
13,086
SAMALEN TV  retweeted
We dogo nimeona comment yako nikakumbuka jambo acha nikusaidie Nakukumbusha kuwa upo Tanzania, simu yako na bando la songesha na wifi zisikufanye ujisahau na uanze kuwatukana viongozi na kujifanya mwanaharakati, wewe ni sawa na kuku ambae muda wowote anaweza akachinjwa, wakina Sativa ambao hawapo nchini wasikupe kiburi ukaanza kuwatukana viongozi wako, NAKUKUMBUSHA KUWA NA ADABU bado una umri mdogo sana na ninadhani una ndoto kama unataka kuwa mwanasheria angalia wanasheria wakubwa waliishije usijitengenezee shimo mapema Shauri lako, nimekwambia kwa sababu bado tunakupenda 📌📌
29
2
2
23
12,745
SAMALEN TV  retweeted
HONGERENI SANA WANA SAMALEN TIPS TUMESHINDA PALE KWENYE APP 🙏 MUNGU ATUJALIE TUWE WASHINDI KILA SIKU 🙏
Nimesha Deposit Leo kanji atakaa uchambuzi nimeshamaliza saa 6 na dakika 20 ingia kwenye App kwa ajili ya mikeka 3 ya leo muhimu Ahsanteni 🙏
1
7
4,116
SAMALEN TV  retweeted
WON SINGLE BET ✅ Endeleeni kujiongelesha sisi tunaendelea kutengeneza pesa 🫵
1
8
1,956
SAMALEN TV  retweeted
Mbona hujaweka ya billnas ile LC 300 yake, na pia gari ya mondi sio bilioni acha mawenge, na pia rayvan hana rollys royce , pia posh ana gari kadhaa ikiwemo range velar niliipiga picha mwenyewe hivi majuzi Fuatilia kabla hujaposti
Masata wenye Magari ya Thamani Tanzania. Screenshot kwa Comments 👇
1
3
12
3,676