🌪 (@ithemeddy) header
🌪 (@ithemeddy) profile picture

No noise. Just growth. 🥷💀 #LFC

Dar es salaam
Joined February 2023
Photo by 🌪 (@ithemeddy)Photo by 🌪 (@ithemeddy)
Unatoka Geita Kwenye Dhahabu Unaenda Kariakoo Kuuza Chupi
40
50
4
391
18,541
Kwenye maisha kuwa mwema lakini usiwe mjinga kuwa mkarimu lakini weka mipaka na amini lakini usisahau kuwa binadamu hubadilika ✍️✍️✍️
3
8
18
311
🌪 retweeted
Utagundua siku hizi watu hawahitaji kushauriwa ni kama wanataka kila mtu apambane na mambo yake😁🙌🏾
3
7
24
390
This one
Do you have that video that you will never delete? Let’s see it
5
7
348
You rejected me in 2018, now your daughter calls me “Babe” in 2055. 😭😂😂
34
76
4
1,339
101,179
🌪 retweeted
Watu wa human right,wanaharakati na mabunge ya ulaya wakitoa matamko Tanzania "yaani MO29 vijana Tz waliuawa Magetoni walifuatwa wakiwa wanakula ugali wakapigwa pyu pyu" Huko TZ kwenyewe MOX akiwanengulia mapolisi👇🤣🤣🤣Ila MOX
12
15
1
31
886
Watu wana enjoy😋 matunda ya malezi mabaya
"Unajam nini na huyo ni home boy wangu tu"
1
1
2
13
Ukitaka jiunge na mimi kama ni pesa we kunywa nitanunua me mwanzo sikuaminia nikajuaga vya kujua, kumbe mjinga ni mimi naitunza wenzangu wanachukua. Oohh mapenziiiiiiiiiiiiii. Nataka kulewa lewaaa lewaaa me nataka kulewaaa.
5
5
146
🌪 retweeted
Sema kuwa na Nuclear ndio uhuru kamili ! wale Hackers wa North Korea wangekuwa wanatokea Kenya au TZ FBI na Interpol wangekuwa wamejaa huku na vitisho kibao ila sababu North Korea hakuna hata wa kusogelea kmmk 😂😂😂
6
9
1
92
2,961
Hizi yacht cruising sio poa 😋🔥
6
19
4
144
8,983
Sasa kama hadi leo weekend haupo naye, yupo kwa nani sasa?😅💔🚮
1
7
1
18
368
Ziwa liko wazi wapendwa wangu Sado 25k Ndoo ndogo 70k Ndoo kubwa 130k 📍Mwanza 🚚Mikoa yote natuma 📞0756195726 Karibuni sana wakuu
3
36
2
41
574
🌪 retweeted
Mwanaume kukosa pesa ni ngumu sana kueleweka kwenye hii dunia ya sasa.🥹
2
10
30
414
Harakati zetu zikajipe.
2
12
17
360
Si Kila Anayekushika Mkono Anataka Kukuinua; Wengine Wanataka Kujua Una Nguvu Kiasi Gani Kabla Hawajakusukuma.
4
9
21
422
🌪 retweeted
Ukiona unaishi na marafiki wanaokuchoka tutachagua sasa ubadili maisha unayoishi au marafiki.
2
9
22
272
Mi nikionaga mwanamke katoboa sikio mara 2 kaweke hereni juu na chini huwa namuogopa sana.
5
11
21
376
Kwa jinsi wanawake wanacheza na moyo wangu soon ntakua napatikana pale play store Kama game
17
33
63
2,375
🌪 retweeted
Mitandao ni kama kisu ,matumizi yake hutegemea lengo la mtumiaji , anaweza kutumia kuandalia chakula au anaweza kutumia kujeruhi wengine,ukiingia mtandaoni jifunze kuchuja mambo. #ElimikaWikiendi
6
24
35
483
Kuna wazazi wanaishi kwa wazazi wao, Sijamtaja mtu 😂😂
7
15
29
411
🌪 retweeted
Kwa jinsi wadau mlivoangalia na kuchafua TL kwa picha za ngono humu. Sidhani kama leo tutakula mikeka💔
12
23
29
1,052