🌪 (@ithemeddy) header
🌪 (@ithemeddy) profile picture

No noise. Just growth. 🥷💀 #LFC

Dar es salaam
Joined February 2023
Photo by 🌪 (@ithemeddy)Photo by 🌪 (@ithemeddy)
Best series for beginners🙌
Hit me with your Favourite Top 10 movies . I want to to see other people's list and learn new interesting movies to watch today .
1
3
47
10,118
🌪 retweeted
Siku hizi madem hawataki relationship kabisa kitu wanataka ni moneyship, iphoneship, wigship and outingship
8
16
30
581
Maisha yamenifundisha kuwa ni bora kuwa na watu wachache wa kweli kuliko kundi kubwa la wanafiki ✍️✍️✍️
3
11
1
30
607
Ulizaliwa wewe ni kijanaaa 😅 Ukakosa kazi ukaanza shabikia Manjesta Tulitulitulitututliluliliuuuuuu
1
4
1
9
287
🌪 retweeted
Yeyote aliyenitafuta baada ya mechi ya Utd. FUCK YOU.
7
6
26
502
😁 😁 😁 😁 Manchester United downfall. Mimi siwezi kuwaonea huruma ntawacheka tu
1
6
7
245
😂😂😂😂😂ila team la millennial hapa yalijua yamemaliza mechi 😂🚮
4
9
12
201
🌪 retweeted
Sisi ndio tunapenda mafans wa utd mteseke maana mkishinda mnasumbua 😂😂
6
7
112
🌪 retweeted
Kama kawaida yao. Nyumbu ni wepesi na vibonde kama huchezi nao
14
11
8
131
4,694
Basi Ndugu Yetu Carrick Inatoshaaa Tuonee Ata Huruma Sisi Aisee Kila Siku Sisi Tu Sub Zenyewe Mtihani daaah 🙌🏽
7
7
13
339
Kwahiyo kabla ya International break tuna Chelsea leo na Aston Villa kwenye EPL … kuna kila dalili tunaenda International break tukiwa bottom 3 , relegation zone Daah my football club , God help us 🤔😀
44
26
6
617
17,997
🌪 retweeted
Leo sitaangalia mechi Yoyote ya football . Nina mechi maalum hapa gheto 🙏🏿😋
37
20
7
124
19,689
Halafu mimi nikajua vioo vinatokana au kutengenezwa na maji kumbe ni udongo bana 😂 Anko @zamo_tz sector yako hii naaamini leo nitaipata elimu vizuri.
7
18
31
751
Kwenye maisha kuwa mwema lakini usiwe mjinga kuwa mkarimu lakini weka mipaka na amini lakini usisahau kuwa binadamu hubadilika ✍️✍️✍️
5
12
36
581
🌪 retweeted
Utagundua siku hizi watu hawahitaji kushauriwa ni kama wanataka kila mtu apambane na mambo yake😁🙌🏾
13
18
1
88
1,586
This one
Do you have that video that you will never delete? Let’s see it
6
9
900
You rejected me in 2018, now your daughter calls me “Babe” in 2055. 😭😂😂
106
480
32
7,104
375,118
Watu wa human right,wanaharakati na mabunge ya ulaya wakitoa matamko Tanzania "yaani MO29 vijana Tz waliuawa Magetoni walifuatwa wakiwa wanakula ugali wakapigwa pyu pyu" Huko TZ kwenyewe MOX akiwanengulia mapolisi👇🤣🤣🤣Ila MOX
15
19
1
44
1,307
Ukitaka jiunge na mimi kama ni pesa we kunywa nitanunua me mwanzo sikuaminia nikajuaga vya kujua, kumbe mjinga ni mimi naitunza wenzangu wanachukua. Oohh mapenziiiiiiiiiiiiii. Nataka kulewa lewaaa lewaaa me nataka kulewaaa.
1
7
9
224
🌪 retweeted
Sema kuwa na Nuclear ndio uhuru kamili ! wale Hackers wa North Korea wangekuwa wanatokea Kenya au TZ FBI na Interpol wangekuwa wamejaa huku na vitisho kibao ila sababu North Korea hakuna hata wa kusogelea kmmk 😂😂😂
12
23
4
293
10,815