Shoo (@BushKing13) header
Shoo (@BushKing13) profile picture

I'm trying

Nowon-gu, Republic of Korea
Joined March 2019
Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)Photo by Shoo (@BushKing13)
Have you ever wondered why these 2 little words… Free Palestine … generate such a panic in our ruling class? The answer explained in less than 2 minutes 👇
531
4,703
297
12,309
227,369
Guys tumguse ndugu yetu tunapoweza… Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted hearts foundation..
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
2
40
83
2,938
Nick Fuentes says every girl is Jane Doe and modern dating is COOKED "The modern world is finding a ho and hoping she stops."😂 💯
12
113
10
1,319
41,262
577 days in jail for a crime he didn’t commit only to be handed a 4-year prison sentence for a crime he was never charged with. MAKE. IT. MAKE. SENSE.
4
25
69
1,156
UMMA umeshindwa kumlinda kiongozi wake.. Prime Raila Odinga usingeweza kumshikilia au kumfunga kirahisi hivyo, UMMA would've smoked your ass vibaya sana😎
32
33
6
538
20,346
One Time for the Champion ✌️
1
56
1
130
2,599
All the best champ💪🏽
26
1
86
3,185
May Justice prevail today
2
4
1
6
263
Shoo retweeted
Replying to @Therealngassa
Genghis khan alikula aura yao yote
2
13
1,675
Hawa ndio wanaharakati sasa wanakutumia yakikufika unabaki mwenyewe Wanaandika sijui free siku2 baada ya wiki wanasahau kabisa habari na wewe hawana tena Wamemsahau Pambalu haraka sana Yule mwengine @HildaNewton21 kwa akili zake fupi zisizowaza vyema anasema Pambalu ndie alitoa location Twaha akaweza kutekwa
1
3
4
223
Shoo retweeted
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba wanachama wa Chadema wanawaamini zaidi wanaharakati uchwara kuliko hata viongozi wao wa chama, Lema haaminiki, hapo juzi kati Mnyika naye amepikwa na hao hao wanaharakati tuendelee kula mtori nyama ziko chini itafika zamu ya hao wawili ( Heche & Lissu) wanaosemwa wana balls nao wakienda kinyume na matakwa ya wanaharakati uchwara watapikwa vile vile. Muda ni mwalimu mzuri, tuendelee kusubiri zamu ya Heche na Lissu kupikwa na wanaharakati uchwara.
1
15
28
847
Wengine mlikiwa hamjui kama mtu ambaye mnamuona msaliti ndio alikuwa chaguo la Chiba before mropokaji Heche kuwa kitu wowote, Tunajia hii spana fact haina come back 😃😃😃
13
15
1
23
2,987
Si mmeona vyenye wanaharakati/wanasiasa wenu walivyopindisha maneno ya Mangi? Yaani Mangi kaongea A wao wameandika F.. Kama mlisikikiza Press ya Mangi, mtaona kuwa kuna baadhi ya maneno yanayoandikwa na hawa watu sio kweli.. Sasa nyie shauri zenu. Acheni hiyo BLIND FAITH
Narudia tena... Wanaharakati na Wanasiasa sio wa kuwaamini kabisa... Shauri zenu
3
8
11
388
Jambo lililowashinda CHADEMA kila Mwanaharakati ni msemaji wa Chama! Hawana formalities za ku address taarifa za chama! Pia viongozi wao hawakemei au kutolea ufafanuzi kwa baadhi ya mambo hadi watoe ikiwa too late
14
9
1
46
2,546
Atuwezi kukataa ukweli kuwa Lema yupo sahihi kabisa Lema ameanzia mbali ili kuonyesha kwamba hatamani izo nafasi kama mange kimavi anavosema ukweli usio pingika CHADEMA Kuna namna inawaogopa Wana HARAKATI uchwara na imewanyamazia kiasikwamba wanavuka mipaka
Huyu demu muongo sana hapa kamuingizia maneno 😂😂😂
5
1
1
13
1,001
Mange kimambi Some of her followers have stopped being supporters and become an echo. A claim doesn't need a source, only her name. A critic doesn't need an answer, only a pile-on. When she blocks or insults dissenters, they copy her
4
14
1
31
3,180
Hili ndo anguko la Kina Mange na Maria kwenye Siasa. Wataishia kwenye siasa za Umbea na udaku. Watakaokua wanawaamini watakua na shida mahali. Tufanya siasa za kimkakati sio Umbea umbea na Majungu.
33
4
49
4,434
May we never forget injustice If not in our lifetime..then may we teach our children never to forget the blood of the innocent that was shed And for those who commited injustice may you live long enough to burry your children like dogs( never be able to pay last respect)
16
29
503
May God see our tears and hear our inner cries. We need justice! RIP Oktober 29 Heroes!💔
11
162
2
457
5,271