Msaky™ retweeted
Hivi wadada, yaani Mimi nakuletea chipsi kuku unadonoa donoa tu alafu unasema sijisikii kula hivi huwaga mnatuchuliaje..😡
Msaky™ retweeted
Mwanetu Daudi mwili ulionekana mitandaoni mochwari hakupatikana tulizika nguo fresh wanetu poa sana💔
Msaky™ retweeted
Tunaamini ipo siku damu za watanzania zilizomwagika bila hatia zitalipwa
#Hatutasahau 29/10/2025 🕊💔
Msaky™ retweeted
Moja ya wale watatu tuliopoteza,Mwenyezi Mungu aendelee kuwa faraja kwa familia zote ziliopoteza ndugu zao..Muendelee kupumzika kwa Amani AMINA🕊️🙏😭
Msaky™ retweeted
Media Uchwara za Bongo zinasubiri zipost Mwaka Mmoja tangu Manyota Achaguliwe kuwa Raisi ila kuhusu mauaji hawawezi kupost Kamwe….. Media za Bongo ni Takataka sana kmmmke.💔🙌🏼💔🙌🏼
Msaky™ retweeted
BRO TO BRO
Mwanamke ukishaanza kumhudumia kwa kila kitu iwe upo nae kwenye mahusiano ya kimapenzi either upo nae kwenye ndoa, vitu ulivyo mpatia usihesabu we ukisha mpa fanya kama umepoteza
Msaky™ retweeted
As a nation, hatuko sawa kabisa mental wise. You can’t just sweep mass trauma under the rug na ukajifanya kila kitu kiko sawa. We are hurting inside. 🕊️🖤
Msaky™ retweeted
“As day comes and night falls/
For the rest of our life, we'll miss y'all/
And even though life must go on
We'll still mourn/
while wishin' y'all were home”
🇹🇿
Msaky™ retweeted
Clouds ata msipo mkumbuka master tidwa sisi hatutochoka
R. I. P MASTER WA CLOUDS FM 29/10/2025
Repost bila kuchoka ✌️ @CloudsMediaLive
Msaky™ retweeted
Ilisemekana kama wanyama wangekuwa na dini
Basi binadamu ndio angekuwa shetani….na kweli ni “she ”…shetaniiii.💔🙌🏿
Rest well fallen soldiers..29.oct 💔🕊️
Msaky™ retweeted
Replying to @Mwinshehe07
Dah mpaka machozi 😭😭💔 Mungu atatulipia hili 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania





























