Msaky™ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 35,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Msaky™ retweeted
Wakuu Naomba Repost 🙏♥
Njoo Upendeze kwa Bei Rahis Sana Maboss Wangu
☎0752777167
💰65000
Msaky™ retweeted
Kwenye haya maisha ya sasa ukisema uendekeze aibu kutoboa kwako katika utafutaji itakuwa ni ngumu sana.
Good morning X familia.
Msaky™ retweeted
Asante Mungu kwa siku hii mpya
Umenipa uhai na nguvu za kuishi
Baraka zako zimejaa katika maisha yangu
Nashukuru kwa amani na afya yangu
Umeongoza hatua zangu kwa upendo
Siku hii ni zawadi kutoka kwako
Ntakusifu daima Mungu wangu 🙏
Good Morning X Family.🙌
Msaky™ retweeted
Mungu Asante Kwa Zawadi Ya Siku Hii Mpya.Ninakuweka Mbele Yangu Kila Hatua Ya Leo.Fungua Macho Yangu Nione Uzuri Na Ukuu Wako.Niongoze Katika Mawazo Yangu,Maneno Yangu,Na Matendo Yangu.Nipe Moyo Wa Shukrani,Ustahimilivu,Na Hekima Ya Kutumia Vizuri Wakati Wangu.
GOOD🌄MORNING🫂
Msaky™ retweeted
Good morning Kwenye maisha si kila mtu anayekuuliza unaendeleaje anahitaji kujua kila kitu kuhusu maisha yako Kuna mambo yanahitaji ukimya mipango inayohitaji muda na ndoto zinazohitaji ulinzi mpaka zitakapokuwa kweli
Msaky™ retweeted
Hivi wadada, yaani Mimi nakuletea chipsi kuku unadonoa donoa tu alafu unasema sijisikii kula hivi huwaga mnatuchuliaje..😡
Msaky™ retweeted
Mwanetu Daudi mwili ulionekana mitandaoni mochwari hakupatikana tulizika nguo fresh wanetu poa sana💔
Msaky™ retweeted
Tunaamini ipo siku damu za watanzania zilizomwagika bila hatia zitalipwa
#Hatutasahau 29/10/2025 🕊💔
Msaky™ retweeted
Moja ya wale watatu tuliopoteza,Mwenyezi Mungu aendelee kuwa faraja kwa familia zote ziliopoteza ndugu zao..Muendelee kupumzika kwa Amani AMINA🕊️🙏😭
Msaky™ retweeted
BRO TO BRO
Mwanamke ukishaanza kumhudumia kwa kila kitu iwe upo nae kwenye mahusiano ya kimapenzi either upo nae kwenye ndoa, vitu ulivyo mpatia usihesabu we ukisha mpa fanya kama umepoteza
Msaky™ retweeted
As a nation, hatuko sawa kabisa mental wise. You can’t just sweep mass trauma under the rug na ukajifanya kila kitu kiko sawa. We are hurting inside. 🕊️🖤
Msaky™ retweeted
“As day comes and night falls/
For the rest of our life, we'll miss y'all/
And even though life must go on
We'll still mourn/
while wishin' y'all were home”
🇹🇿
Msaky™ retweeted
Clouds ata msipo mkumbuka master tidwa sisi hatutochoka
R. I. P MASTER WA CLOUDS FM 29/10/2025
Repost bila kuchoka ✌️ @CloudsMediaLive



































